grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Magazeti gani unayosoma mkuu, yasijekuwa yale ya pale Bamaga nyuma ya Petrol Station?habar zenu! mwaka wa pili huu natafta kazi cjapata! nimeaapply kazi nyingi mno jaman!magazet nimenunua mpaka hela imeniishia hata interview pia siitwi!! hapo vp ntajipa matumaini ya kupata?msaada wenu jaman! bachelor of business admin
Kama ni mwananchi, The CITIZEN, Daily News, hata hapa jamii forum mbona kazi profession yako zinatoka kila leo na watu wanapata mkuu?