du!hii sasa kali!

du!hii sasa kali!

korino

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,013
Reaction score
686
habar zenu! mwaka wa pili huu natafta kazi cjapata! nimeaapply kazi nyingi mno jaman!magazet nimenunua mpaka hela imeniishia hata interview pia siitwi!! hapo vp ntajipa matumaini ya kupata?msaada wenu jaman! bachelor of business admin
 
Pole sana lakini hiyo siyo kali mkuu,nina ndugu yangu alimaliza 2008 hadi leo hajapata kazi alipata nafasi ya ualimu ndiyo anaitumikia hadi leo,ameshaomba kazi sana na mimi nikimsaidia yaani mm tu nilizomuombea haziesabiki na nina miaka miwili tu toka nimeanza kumuombea kazi mbalimbali ninazoziona lakini hatujakata tamaa.Tunaamini muda wa kupata kazi itakayo mfaa bado haijafika.Endelea tu kuvumilia mkuu.
 
Pole kaka ndo Dar hii, yabidi ubadili jinsi ya kutafuta kazi
 
habar zenu! mwaka wa pili huu natafta kazi cjapata! nimeaapply kazi nyingi mno jaman!magazet nimenunua mpaka hela imeniishia hata interview pia siitwi!! hapo vp ntajipa matumaini ya kupata?msaada wenu jaman! bachelor of business admin

Pole sana KorinO: Ingia kwenye ujasiliamali, anzisha biashara ndogo ya mtaji mdogo, laki 1 au 2. Watu watakushangaa, watakucheka, lakini ukiwa makini, mtaji utaongezeka baada ya muda. Hii inaweza kuchukua hata miaka 2 hadi 3 ndo utaanza kutoka!!
 
Kwakweli hili janga la wengi. Sometimes huwa najihoji hivi ni balaa gani au ndiyo tuna madhambi mengi mbele za Mwenyezi Mungu? YESU atunusuru na mawazo mabaya, maana inafikia kipindi kuna kuwaza Beyond.
 
Nenda kalime
 
Tusikatishane tamaa kiivyo jamani, kama kulima angelima baada tu ya kumaliza std 7, tutoe ushauri chanya, mdau try website www.mygoli.com then upload CV yako.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kamanda hauko peke yako, hili ni janga la taifa, kuna vijana wengi tu hawana kazi na wanatafuta for years, usikate tamaa wakati ukifika utapata tu,
kwa ushauri tu ni kuwa jaribu kutafuta hata volunteer kwa kuanzia ili kujenga uzoefu, nimeona kazi za volunteer nyingi zikitangazwa hivi karibuni,
pili kuna taasisi nyingi sana zinafanya kazi za research huwa wanachukua watu on temporary basis for data collection، tatizo ni kuwa hizi kazi haziko friquent، endapo utafanikiwa kufanya hata 1 itakufungulia njia kwanza utakutana na watu wengi ambao ukijenga nao mawasiliano mazuri watakuunganisha kwenye taasisi zingine wanazofanya nazo kazi. Mi nimefanya kazi hizo za field tangu 2010, na maisha yanaenda, nimeshasafiri mikoa yate ya tanzania nimepata exposure kubwa kwenye research za afya, mazingira, uchumi, ardhi na kilimo na nimepata network kubwa ambayo inanisaidia sana.
 
ahsante sna kwa ushauri wako ndugu yangu
 
sawa ndugu yangu ngoja niifanyie kaz
 
Kwakweli hili janga la wengi. Sometimes huwa najihoji hivi ni balaa gani au ndiyo tuna madhambi mengi mbele za Mwenyezi Mungu? YESU atunusuru na mawazo mabaya, maana inafikia kipindi kuna kuwaza Beyond.
yaan we acha tu
 
Pole sana KorinO: Ingia kwenye ujasiliamali, anzisha biashara ndogo ya mtaji mdogo, laki 1 au 2. Watu watakushangaa, watakucheka, lakini ukiwa makini, mtaji utaongezeka baada ya muda. Hii inaweza kuchukua hata miaka 2 hadi 3 ndo utaanza kutoka!!
dah!asante ndugu yangu wazo zuri
 
2po weng ucjione upo peke yako kaz zinasumbua sn kw ss ila 2ckate tamaa ipo cku!.
 
dah mnatukatisha tamaa kabisa kurudi bongo aisee tumechoka kukaa kwa hawa wamatumbi wenzetu naona hawana jipya zaidi ya kumiss home kama ndio hivyo itabidi tubadili mbinu za kuishi lol
 
Lakin korino hi Avatar ni ww mwenyew ama??? Samahan lakin koz nimepata shida kidogo kuamin hii thread kama inaukwel ndan yake.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Kweli ishu ya kupata kazi inasumbua maana mm nimemaliza 2007 mpaka leo hola. nahisi kila ofic nimeenda. Ila kuna rafiki yangu kamaliza 2008 na amepata kazi mwaka huu mwezi huu wa nne tena bima ya afya. kwa hiyo naamini kila jambo na wakati wake. usiumie moyo mpendwa.
 
Back
Top Bottom