Du apps booster ina manufaa gani..

Du apps booster ina manufaa gani..

Samahani kwa kuchomeka swali, Mimi kwenye phone storage kuna jipu linaitwa thumb linanimalizia nafasi. Nikitaka kulitumbua nashindwa. Nifanyeje?
Mkuu nakushauri kitu diwnload apps inaitwa 360 security iko playstore idownload kisha scan for virus hapo mwisho wa hiyo tstzo
 
Back
Top Bottom