DTV air channel

Marco Exavery

Member
Aug 14, 2016
31
5
Wadau kuna hizi tv za sumsung zenye inbiult decoder, ukiweka antenna huwa zinaonesha channel fulan lkn tatizo lngu ni kwamba channel zinaweza kuwa zinaoonekana leo baada ya siku mbili the same channel unona wanasema scrambled channel tena baada ya siku ten zinarud. Je kuna njia ya kurekebisha hili au kulipia channel hizo ??
Msaada wenu tafafhali
 
ni kweli zinaitwa free to air terrestrial channel channels hizi zina tabia kupotea/na kurudi pia tabia ya kuhama hasa wakati content provider akiwa ame-retune signal zake au anafanya marekebisho. Ninachoelewa ukisearch digital tv unapata chanels kutoka kwenye vyanzo mchanganyiko chanzo cha kwanza ni free to air chanels ambazo ni bure na cha pili ni kutoka kwa premium tv content providers ambao hutoa chanels kwa malipo kama Azam/Startimes/Ezytv hiki chanzo cha pili huwa chanel zake huwa ni za kulipia. Kuna wakati baadhi ya hizi chanel za kulipia huwa zinakuwa wazi kwa kipindi fulani na kisha kufungwa kwa sababu mbalimbali labda ni ofa kwa wateja wake au wana marekebisho wakimaliza wanafunga tena (ndio maana unaweza kukuta una chanel 3 za itv na zote zinaonyesha lakini ni chanels kutoka vyanzo tofauti) Hivyo ukiona zimepotea huenda sababu ni chanzo cha channel ni zile za kulipia Na ni jambo la kawaida hizi kampuni za kulipia kufungua na na kufunga chaneli zao wakati na wakati. Ukitaka kujua tofauti zile zinazotoka vyanzo vya kulipia zikifungwa zinaandika scrambled na zile free unapata screen nyeusi bila message hiyo. pia kuna baadhi ya tv zinatofautisha na kukwambia kama channel ni ya kulipia au ni ya bure
Kuhusu kulipia huwezi kulipia ila kuna baadhi ya tv zinakuja na slot ya kuingiza card badala ya kutumia decoder za kawaida unanunua card kulipia yastartimes/azam nk unachomeka kwenye tv unapata channels kama kawaida

Je hizo kadi zinaweza kupatikana bil king'amuzi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom