Marco Exavery
Member
- Aug 14, 2016
- 31
- 5
Wadau kuna hizi tv za sumsung zenye inbiult decoder, ukiweka antenna huwa zinaonesha channel fulan lkn tatizo lngu ni kwamba channel zinaweza kuwa zinaoonekana leo baada ya siku mbili the same channel unona wanasema scrambled channel tena baada ya siku ten zinarud. Je kuna njia ya kurekebisha hili au kulipia channel hizo ??
Msaada wenu tafafhali
Msaada wenu tafafhali