1:Kwa anaefahamu malipo ya dstv kwa mwezi(viwango mbalimbali).
2:Je,
kuna uwezekano wa kuchagua chnl mf mpira,zinazoonesha wwe kama unalipia chnl 25?naomba kujuzwa!!
1:Kwa anaefahamu malipo ya dstv kwa mwezi(viwango mbalimbali).
2:Je,
kuna uwezekano wa kuchagua chnl mf mpira,zinazoonesha wwe kama unalipia chnl 25?naomba kujuzwa!!
Bofya hapaChannel - DStv.comHakikisha kibox cha choose your country kiwe Tanzania na kibox kinachofuatia kimeandikwa choose your product chagua package moja baada ya nyingine kati ya hizi hapa chini alizo post Limbani, chini yake utaona list ya channel zote zilizopo kwenye hiyo package uliyo chagua na maelezo ya channel hizo