DSTV wamepandisha tena

DSTV wamepandisha tena

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,772
Dear DStv subscriber, due to currency depreciation, please be advised that from 1 October 2015 the subscription for DStv Bomba will be TZS 23 500 per month.

Dear DStv subscriber, due to currency depreciation, please be advised that from 1 October 2015 the subscription for DStv Family will be TZS 51 000 per month.

Dear DStv subscriber, due to currency depreciation, please be advised that from 1 October 2015, the subscription for DStv Premium will be TZS 219 000 per month.
 
wanachoshaa kabisa! nadhan niwakati wa ving'amuzi vyetu kuonyesha ligi ya uingereza... coz nao with AZAM na STARTIMES tunaona ligi za Spain ma Jerumani..tuachane na huu ukiritimba na unyonyaji wa Makaburu...

Wameniudhu sana... Hata mwaka haujaisha wamepandisha gharama zaidi ya mara nne..waliazna 148000, 169000, 199000, leo wamekuja na 219000..wizi kabisa huu
 
Huu ni zaidi ya wizi kwa kweli
Kwa mwaka mmoja wamepandisha zaidi ya mara nne na sababu ambazo hata hazieleweki kabisa
 
Kukosa kuangalia mpira (wa ligi ya Uingereza) hakuwezi kunifanya nipoteze maisha, naachana na DSTV rasmi. Hawa jamaa kweli ni wanyonyaji aisee. Hata sisi mishahara hatupandishiwi kwa namna wanavyodhani wao.
 
Shamba la bibi hili, wanatunyonya sana hawa jamaa
 
Dear DStv subscriber, due to currency depreciation, please be advised that from 1 October 2015 the subscription for DStv Family will be TZS 51 000 per month.
 
Huu ni wezi na hawa TCRA sijui kwanini hawaregulate bei za ving'amuzi. Wamekaa kimya kila siku DSTV ikiendeleza unyonyaji
 
kwaheri dstv,nilitaka niunganishe tena kwa mwez huu lkn naona nisiendelee kuwapa mzigo ikiwa wanajiendesha kwa hasara kama wanavodai.
 
Dstv sio rafiki tena kwa watanzania
 
nliamua achana nao hawa na kuhamia azam
 
Hawa DSTV wanatumia vigezo gan jaman kupandisha bei kila kukicha.
 
Dear DStv subscriber, due to currency depreciation, please be advised that from 1 October 2015, the subscription for DStv Premium will be TZS 219 000 per month.
 
Back
Top Bottom