Dstv wamelewa sifa, kwa sasa wanaboa...

Dstv wamelewa sifa, kwa sasa wanaboa...

K/koo bei ya kingamuzi ni 130,000/ kwa mwezi ni 40,000 unaangalia Ligue 1, EPL, Europa, Uefa ila changamoto ni matangazo ya mpira ni Kifaransa.

Daaahhh co mbaya mkuu maana wabongo wengi kizungu chenga, muhimu kuona mpira unachezwa
 
K/koo bei ya kingamuzi ni 130,000/ kwa mwezi ni 40,000 unaangalia Ligue 1, EPL, Europa, Uefa ila changamoto ni matangazo ya mpira ni Kifaransa.
iyo Epl. Ligue 1. Europa. Uefa wanaonesha game zote au baadhi ya game?
 
Dstv siku hizi hata zile channels za movie za kiafrika hususani za kinigeria karibia movie zote ni ovyo kabisa. Eti kila movie wanayoonyesha lazima iwe na mambo ya mauchawi uchawi na hata wale magwiji karibia wote hawamo.
 
DSTV saiv hamna kitu. . . .walikuwa wababe zamani sana ila kwa sasa huvi competition inawanyoosha vibaya sana. Kuja kwa Azam na operators weengine kumesaidia sana kufanya access ya huduma hizi kuwa affordable kwani iliwapasa DSTV waone haja ya kupunguza bei ya kumiliki DSTV. Jambo hili nasisitiza ni bora kwa watanzania wote kwani ubabe wa DSTV nchini umeisha hivyo kuongeza idadai wya watu wanaoweza kudumu gharama. sasa hivi hadi wanauza kwa kutembeza mtaani na kwenye vituo vya daladala. . .kifurushi cha chini bei poa sana aise. Wacha wapambane na hali yao ila kwa sasa AZAM ni kiboko ingawa DSTV nayo ina-channel zake konki sana
 
azamtvtz-20181226-0001.jpeg
Azam ni mama yao maisha yote
 
Sihitaji kumshawishi mtu, lakini Startimes ni bora sana kulinganisha na DStv. Najua kuna hoja ya Premier league inayooneshwa DStv, lakini Bundesliga na serial A zioneshwazo Startimes huingiza timu mfululizo fainali ya UEFA kuliko hiyo ligi pendwa.
Startimes wana HD
 
Back
Top Bottom