EPLPale Azam pana Tido Mhando ambaye amefanya kazi huko London tena kwenye chombo kikubwa tu, BBC na Hilary Charles kwenye kitengo cha michezo pale BBC, sijui wanashindwaje kuwaadabisha hawa dstv, yaani kama Azam anaanza kuonesha ligi ya England mi hata leo nahama dstv, wameshanichosha.
Akili za Lumumba zinajua kufungia tuu...sasa uwafungie Dstv ndani Na nje ya nchi unadhani wao ni kama wasafi TV?Hivi tume ya ushindani na Tcra hawawezi kuingilia kati, ikiwezakana waambiwe kupunguza bei na kuirudida ss8 kwa kifurushi cha bomba, la sivyo wafungiwe ndani na nje ya nchi.
DSTV ipo Tanzania tangu 1997....Hata mimi naona, siku zao zinahesabika.
ila wwe wanaonyesha mkuu?Hakuna channel za NBA?
Bar gani hiyo?kuna bar huku tabata wanatumia hiyo canal sport,tunaangalia mpira bila shida..alftime kila mtu na mambo yake gozi likirudi uwanjani fresh magori yakifungwa tunashangilia kama kawa...advantage nyingine tunajifunza kifaransa pia mdogomdogo..merci buku!!
Hiyo ni ya michezo tu, kuna package zao zingine zinafika hadi 160k kwa mwezi.hiyo 4o,000/= ni package moja tu au kuna nyingine ya chini zaidi ya hapo?
So what?DSTV ipo Tanzania tangu 1997....
Kuna agent wao.Malipo ya mwezi yanafanyikaje mkuu?
Mkuu najua ni gharama saana, lakini unakuta kama hao sky wao wananunua na kuuza kwa wengine kama ambavo dstv wamenunua kwa sky, kwa ajili ya kutukamua watu wa africa, kwa hiyo Azam ananunua kwa sky ili atuuzie hapa bongo, sema Azam mtandao wao sio mpana kama dstv, na nadhani itakuwa hailipi kwa coverage yao so far.EPL
Last time out, in 2015, Sky paid £4.176bn to show 126 matches, including the first Friday evening games and both Sunday packages, and BT paid £960m for 42 games. That was a 70% increase on the previous £3bn deal.
Sky is currently paying an average of £10.8m per game and BT about £7.6m per game.
"It is the most fascinating tender process ever," says one TV industry insider with extensive experience of the sports rights bidding process.
Bei sio sawa na TPL
Champions League: BT extends TV rights until 2021 in deal worth £1.2bn. BT Sport has extended its TV rights for the Champions League and Europa League until 2021 in a deal worth £1.2bn. The company has been broadcasting Europe's elite club competitions since 2015 under the terms of an £897m deal agreed in 2013.
haki ya kuonyesha EPL mzigo wake sio mchezo,DSTV wana haki yakurusha EPL south,namibia zambia,zimbabwe botswana,tanzania,uganda,kenya,rwanda,ghana,nigeria etc.Pale Azam pana Tido Mhando ambaye amefanya kazi huko London tena kwenye chombo kikubwa tu, BBC na Hilary Charles kwenye kitengo cha michezo pale BBC, sijui wanashindwaje kuwaadabisha hawa dstv, yaani kama Azam anaanza kuonesha ligi ya England mi hata leo nahama dstv, wameshanichosha.
Hajakwambia kuwa hamna local channel hata mojaMalipo ya mwezi yanafanyikaje mkuu?
Mwakani wajitahidi wapate walau Europa ligiazam sasa kapewa haki ya kuonesha kombe la faView attachment 977579
mkuu wayeyushaji kivipiWanayeyusha tu!
Hilo ndio jibu sahihi kabisa sioni kampuni ya EA inaweza kununua hizo haki labda km skysports watabadili mfumo na kuamua kutoa kila nchi inatafutwa kampuni moja basi.haki ya kuonyesha EPL mzigo wake sio mchezo,DSTV wana haki yakurusha EPL south,namibia zambia,zimbabwe botswana,tanzania,uganda,kenya,rwanda,ghana,nigeria etc.
kwa maana hiyo ukinunua haki ya kuonyesha EPL lazima uonyeshe kwenye nchi zote hizo.
kama unakumbukumbu miaka kama 10 iliyopita ilijitokeza kampuni moja ilikuwa inaitwa GTV ikanunua haki za kurusha EPL kwa 60% na DSTV 40% at last GTV wakachemsha wakawa wanapata hasara wakauza haki yao ya kurusha EPL kwa DSTV
kwa hiyo mkuu kununua haki za kuonyesha
lazima uwe bepari mkubwa.sidhani hapa tanzania kuna bepari wa ku compet na DSTV(south africa)
Nimeona mahali kwamba mkataba wa kuonesha ligi ya England kwa dstv, ambao ulikuwa unaisha mwaka 2019, so far wamesign mkaba mwingine tena ambao unawapa haki ya kuendelea kuonesha ligi hiyo mpaka mwaka 2022, wao wamepata haki hiyo wakati, kwese wao wamepewa haki ya kuonesha mechi moja kila jumamosi, na tena mechi ambayo siyo kubwa.haki ya kuonyesha EPL mzigo wake sio mchezo,DSTV wana haki yakurusha EPL south,namibia zambia,zimbabwe botswana,tanzania,uganda,kenya,rwanda,ghana,nigeria etc.
kwa maana hiyo ukinunua haki ya kuonyesha EPL lazima uonyeshe kwenye nchi zote hizo.
kama unakumbukumbu miaka kama 10 iliyopita ilijitokeza kampuni moja ilikuwa inaitwa GTV ikanunua haki za kurusha EPL kwa 60% na DSTV 40% at last GTV wakachemsha wakawa wanapata hasara wakauza haki yao ya kurusha EPL kwa DSTV
kwa hiyo mkuu kununua haki za kuonyesha
lazima uwe bepari mkubwa.sidhani hapa tanzania kuna bepari wa ku compet na DSTV(south africa)