poppah
JF-Expert Member
- Dec 19, 2014
- 630
- 548
Nicheki mkuu ninavyo 0764453848/0686811173Mkuu hicho cha canal+ knapatkana vp? na bei ipoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicheki mkuu ninavyo 0764453848/0686811173Mkuu hicho cha canal+ knapatkana vp? na bei ipoje?
K/koo bei ya kingamuzi ni 130,000/ kwa mwezi ni 40,000 unaangalia Ligue 1, EPL, Europa, Uefa ila changamoto ni matangazo ya mpira ni Kifaransa.
Njia gani wa kulipia hayo matangazo ???Hebu nisaidie Canal wanataka dish la aina gani na kama nipo mikoani nitapata vipi hii kitu . je ninAUTOROLL RECEIVER?
Canal +...Bongo zinapatikana wapi boss?Mwanzoni walianza kutokuonesha Ngao ya hisani, baadae wakaja wakasema hawataonesha Europa League, Na sasa wamenitumia sms kuwa Chaneli pendwa SS8 namba 208 inayoonesha Serie A itahamia kwenye kifurushi cha 39,000 kutoka kwenye kifurushi cha 19,000 kuanzia Januari 15.
Hii yote inakuja mara baada ya kutangaza kuwa hawataonyesha michuano mikongwe ulimwenguni ya Kombe la F.A kwa msimu huu. Nafikiri kuna tatizo sehemu, pengine Dstv wameshalewa sifa, maana Europa League kwa upande wa South Africa hao Dstv wanaonyesha michuano hiyo au sisi Watanzania wametuchoka?
Laiti kisimbuzi cha Canal + kingekuwa kinatangaza kwa lugha ya kiingereza nafikiri sisi walevi wa mpira tungekimbilia huko, maana gharama zake ni nafuu sana.
Mlio karibu na Dstv wafikishieni habari, sisi kama wateja pia tumeanza kuwachoka kama wao walivyotuchoka.
Sikukuu njema wakuu!
Mnapatikana wapi kwa Dar?Niwauzie vya CANAL+ HD Wanaonesha league zote hizo..hawaachi hata moja bei ni 120 malipo kwa mwezi ni 45. Dish utatumia hilo hilo la hao wapuuzi ama la Azam
Anayehitaji tufanye mawasiliano
Mnapatikana wapi kwa Dar?
Wana kitu gani kipya nahitaji kujua ili nikiona inanipendezea nilipie maana sijalipia muda mrefuWamebadilika kidogo
Nimeona sehemu wanasema kuanzia tarehe moja mwezi ujao watapunguza bei ya package zao, wacha tusubiri tuone.Wana kitu gani kipya nahitaji kujua ili nikiona inanipendezea nilipie maana sijalipia muda mrefu
Niliongea na customer care wakanambia sio kweliNimeona sehemu wanasema kuanzia tarehe moja mwezi ujao watapunguza bei ya package zao, wacha tusubiri tuone.
Wamepunguza Vifurush bei kuanzia leo na mm nimelipia bei ya chinNiliongea na customer care wakanambia sio kweli
Saiv vipoje mkuu mana nilishakata tamaa kulipia kabsaWamepunguza Vifurush bei kuanzia leo na mm nimelipia bei ya chin
Bei mpya hizo hapo kiongozi.Saiv vipoje mkuu mana nilishakata tamaa kulipia kabsa
Thanks.Bei mpya hizo hapo kiongozi.View attachment 1194960
Inaelekea customer care hakutaka kuniambia ukweli lakini kwann kifurushi cha mambo hakijapunguzwaWamepunguza Vifurush bei kuanzia leo na mm nimelipia bei ya chin