mbona ulizotaja hizo zote zipo, kumbuka kuna compct, afu na compact plus, hizi ni package mbili tofauti. mimi nalipia compact plus zote hizi napata kwa uzuri kabisa.Tatizo lao na hiyo compact yao wamejaza channel za sports tu; wangefanya jambo la maana kama ingekuwa mteja anaselect channel anazozitaka, mfano mimi napenda Nationa Geographic Channel, Nat Geo Wild, Adventure, World. Discovery Channel, Discovery HD, History Channel, hata wakininyima nyingine zote mimi sina tatizo, wananilazimisha nilipie michannel mia ambayo sina matumizi nayo, nazoangalia ni hizo chache tu..huu nao ni wizi!
mbona ulizotaja hizo zote zipo, kumbuka kuna compct, afu na compact plus, hizi ni package mbili tofauti. mimi nalipia compact plus zote hizi napata kwa uzuri kabisa.
DSTV ukilipia compact plus $ 50, unapata channel za mpira S5, S7, S9, S10, S19,S220 NA ESPN hizi zote zinaonyesha live games, na movies kibao pamoja na series
Mkuu Mupirocin, katika hivi ving'amuzi vya hapa kwetu, ni kipi kina channel yenye kuonesha WWE hata kama ni recorded?
Leo nimena ZUKU WAMEBADILISHA MWELEKEO WA MADISHI YAO NAKUWEKA MWELEKEO KAMA WA DSTV
KWASABU GANI WAMEFANYA IVYO?
Mkuu Mupirocin, katika hivi ving'amuzi vya hapa kwetu, ni kipi kina channel yenye kuonesha WWE hata kama ni recorded?
Kulinganisha DSTV na ZUKU ni kama kulinganisha KITAMBI na MIMBA,ipo juu saana(nzuri saana) DSTV
DSTV
*Unapo nunua mwezi kwanza unapoisha unaachiwa tv za free kama TBC,KBC,CITEN na nyingine
*Ina Chaneli nzuri toka Tanzania kama TBC 1 na STAR TV
*Vifurushi vyake ni kama ifuatavyo
-ACCESS --channels zaidi ya 48 kwa TSH.17,000/=
-FAMILY--channels zaidi ya 55 kwa Tsh.24,000/=
-COMPACT--channels zaidi ya 64 kwa Tsh.45,000/=
-COMPACT PLUS--channels zaidi ya 70 kwa Tsh 85,000/=
-PREMIUM--channels zaidi ya 95 kwa Tsh.135,000/=
#Kama upo MPANDA-KATAVI karibu Burton satellite shop 0754-83 55 43
Je! nikinununa DSTV alafu nisipo lipia sitopata zile channnel za bure mfano TBC ITV STAR TV na EATV na CLOUDS? naomba kuuliza ndugu
Jaman vp hapa bongo kwetu kipi kinga'amuzi bora ukitoa dstv
- Hapa kila mmoja atasema kile anachotumia kuwa ni bora zaidi.
- Ila kwa mimi naona AZAM wako vizuli.
ZUKU wamebadilika
Wako poa sasa hivi na bei zao ziko user friendly sana compared na DSTV
Je! nikinununa DSTV alafu nisipo lipia sitopata zile channnel za bure mfano TBC ITV STAR TV na EATV na CLOUDS? naomba kuuliza ndugu
DSTV hakuna bure!.
Leo nimena ZUKU WAMEBADILISHA MWELEKEO WA MADISHI YAO NAKUWEKA MWELEKEO KAMA WA DSTV
KWASABU GANI WAMEFANYA IVYO?
Unamaanisha nini hapo inamaana zuku wamehama satelite?