DSTV Pwaaa: Kuongeza bei za Bundle mara kwa mara mtapoteza wateja

DSTV Pwaaa: Kuongeza bei za Bundle mara kwa mara mtapoteza wateja

Utaibiwa ndugu...... Mjini hapa. Mchina kwisha habari yake. Kisimbuzi cha mchina kimekuwa Banda la Mende. Usijaribu hakuna huduma ya hivyo sasa hivi.

mwache aende apigwe za macho....hao jamaa haiuna kitu kabisa..
 
Cyo Tu Dstv Muda Si Mrefu Bei Za Bidhaa Zote Tanzania Zitapanda Unga,vocha[vifurushi] Tayari Vimepanda Bei

Kuna watu wanafikiri vocha inaweza kupanda bei, hapana vocha ya 500 utanunua hiyohiyo mia 500 kazi kwenye kujiunga sasa hapo ndio utakuta gharama yake sasa.
 
Watanzania wengi wanaongea sana. Kama huwezi lipa Premium hamia Azam nako kuna mpira. Acha wanaoweza waendelee lipa

Wanataka usawa katika kila kitu jambo ambalo haliwezekani.
Content ya Dstv ni tofauti na ving'amuzi vyote.
Kama huna hela ya kulipia hiyo makitu kaa pembeni.Dstv sio kwa ajili ya kila mtu ni kwa walio tayari na wenye uwezo wa kulipia hiyo huduma kwa hiyo waache kupiga kelele.
Mambo ya usawa katika kila kitu hamna siku hizi.
 
Kwa technology ya DStv sijui kwa nini receivers zao zina boot mda mrefu hivi. 5 mins just booting/loading, its sick kwa kweli.
DStv hana mshindani kwa sasa, hasa katika sports, ndio maana yupo huru kuweka bei ya vifurushi, huku akijua watz tunapenda mpira...kwa hiyo tutanunua tu.
Tunachotakiwa ni kuwa na ushindani, I bet in five yrs azam atakuwa mahali ambapo anaweza kuleta ushindani kwa hawa jamaa.
Kingine kama mtu ana uwezo mdogo, aendelee kutumia vingamuzi vya bei rahisi. Basi.

Niliongea na afisa mmoja wa Azam tv alisema wanafuatilia kibali ila bado hawajapewa.Azam yupo tayari na ana uwezo hata sasa hivi sema kibali kukipata ni process kidogo.
 
Yaani DSTV soon mtatokomea, mambo ya kuongeza bei za bundle kwa mwaka sijui mara ngapi. Mtapoteza wateja..
Kile kifurushi cha bei ndogo sasa ni 18,500/, hivyo vingine sivipatii picha.

Ngonja nikajitafutie kingamuzi changu cha startimes nilichoweka uvunguni

wewe bila shaka ni le mbebez mwalimu you know!!
Dstv tuachie sie wewe nenda startimes!...mshara wako me ndo nalipia premium ya miez miwili hahahahah
 
Kwa technology ya DStv sijui kwa nini receivers zao zina boot mda mrefu hivi. 5 mins just booting/loading, its sick kwa kweli.
DStv hana mshindani kwa sasa, hasa katika sports, ndio maana yupo huru kuweka bei ya vifurushi, huku akijua watz tunapenda mpira...kwa hiyo tutanunua tu.
Tunachotakiwa ni kuwa na ushindani, I bet in five yrs azam atakuwa mahali ambapo anaweza kuleta ushindani kwa hawa jamaa.
Kingine kama mtu ana uwezo mdogo, aendelee kutumia vingamuzi vya bei rahisi. Basi.

Hakuna haja ya kubet mkuu..na haiwezi kuwa rahisi kiasi hicho..Look here,those people know what they are doing.
Biashara yao ni kwenye Sports,particularly,football..na hasa of the so called famous leagues..Kupata haki ya kuonesha ligi kama epl ni gharama kubwa..lkn pia kuna makampuni mengine makubwa duniani yanacontend kufanya biashara hiyo..

Kwa mfano,dstv wana haki ya kufanya biashara hiyo eneo la kusini mwa jangwa la sahara..ni wao pekee ndio wenye umiliki..kwa maana nyingine,hakuna kampuni yoyote yenye ruhusa ya kufanya biashara hiyo katika kipindi hiki ambacho bado mkataba wao haujaisha muda wake.

Kwa kawaida,baada ya muda wa kibali kuisha,makampuni mengi tu huomba kuonesha ligi hizo..kama ambavyo zabuni za kawaida zinvyogombewa na makampuni mbalimbali..ila ni moja tu ndiyo hushinda na kupewa haki ya kufanya biashara..sasa kwa sasa ni dstv pekee ndio ina haki hiyo..

Kwa mfano kampuni ya beIN Sport(iliyokuwa aljazeera sports) inafanya biashara kama hii eneo la MENA(middle east & northern africa),haina ruhusa ya kufanya biashara yake eneo la kusini kwa jangwa la sahara..ingawa matangazo yao yanapatikana hadi nchi kadhaa zilizo kusini mwa sahara,lkn wao officially hawatoi services kama vile kuuza decoder zao au accounts..kwa kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha mikataba yao.

Kama nilivyosema hapo juu,ni jambo ambalo haliwezekani kudhania kwamba siku moja Azam itatoa ushindani mkubwa kwa dstv..na hapa namaanisha ushindani kwamba,watu wakimbilie kujiunga na azam ili kupata kile kitu kilichowasukuma kujiunga na dstv!! Like,kupata sports channels zenye kuonesha epl,la liga,bundes league,uefa,etc kwa mechi zote..it really,looks unlikely kwa kweli.

Kitu wanachoweza kufanya ni kununua baadhi ya mechi kama walivyokuwa wanafanya TING na of course, hata TBC1 ya Tido!! Lakini hii kwa azam haiwezi kuwa na maslahi kwao,hasa kibiashara..na kama wakiamua kuonesha mechi nyingi,nao watapandisha bei zao ili kukidhi gharama za uendeshaji..halafu kesho na kesho kutwa tutakuta hapa hapa kuwatupia lawama na kuwaita majina mengi mabaya!!

Azam inaweza kuleta ushindani mkubwa kwa makampuni ya huku kwetu na labda nchi za jirani ila si kwa dstv..So,ni vema tukakumbushana pia kwamba,dstv will contend na makampuni kama vile beIN Sports,Sky,Fox,BBC,etc na Azam will contend na akina Zuku,Startimes na blaa..blaa..blaa..
 
Niliongea na afisa mmoja wa Azam tv alisema wanafuatilia kibali ila bado hawajapewa.Azam yupo tayari na ana uwezo hata sasa hivi sema kibali kukipata ni process kidogo.

na ndio atakuwa mkombozi wetu we angalia sherehe za muungano anavyoonyesha
 
Niliongea na afisa mmoja wa Azam tv alisema wanafuatilia kibali ila bado hawajapewa.Azam yupo tayari na ana uwezo hata sasa hivi sema kibali kukipata ni process kidogo.

Kibali cha kuonesha mechi moja au mbili kwa wiki sio shida sana..waongee tu na dstv watapata.
 
Azam watuwekee hata Foxy sports2 walau twwndelee na maisha hayo mengine yatakuja when they' r ready
 
Dstv tunakoendea tutakuwa tunaangalia tu zile channel zao za bure za Kichina maana ni Zaidi ya ubeberu huu.Tanzania pekee dstv ndio bei kubwa.

Sio kweli kuwa ni Tanzania pekee dstv ndio bei kubwa, bei zimepanda nchi zote ambako dstv iko. Mtu unaweza kuwa unabadilisha bundle kulingana na mahitaji na wakati, kama wewe ni mshabiki wa ligi ya uingereza, sasa hivi inakaribia mwisho wa msimu, hamia bundle la bei rahisi mpaka mwezi wa nane, unahamia premium.

Siku zote kitu kizuri ni ghali.
 
Azam watuwekee hata Foxy sports2 walau twwndelee na maisha hayo mengine yatakuja when they' r ready

Fox Sprts2 inaonesha ligi gani?
I think Setanta Africa can do the same.
 
18,500 34,000 56,000 135,000 148,000 chagua kilicho bora.

Mkuu sasa hivi bei zimepanda tena tangia 09-04-2015.DSTV wazuri sana lakini bei zinapanda kila siku utafikiri bei za mafuta!Pambano la Century la MEAYWEATHER NA PIC Litaonyweshwa tarehe 03-05 furahia ulimwengu wa dstv
 
Dstv wanaongeza bei na wanatoa channel nzuri, wametoa kung-fu channel, na nyinginezo wanaweka za bei chee kabisa na za kidosi, tutaacha wanatuona ng'ombe sisi wanakamua tu.
Halafu hivi wameshindwa ile teknolojia ya wachina (star times) kwamba ukilopa tu na hapo hapo inafunguka, pia ukiwasha tu decoder hapo hapo unaaza kuona, dstv unasubiri hadi nusu ya kipindi inaisha
 
Mrimi nimekuelewa, hoja yako ni ya msingi japo katika ulimwengu wa leo chochote chawezekana, its all about willingness and cash. Azam, kama anataka kuingia kwenye ulimwengu wa soka, soka ka ulaya anaweza, huwa hawaanzi kwa kuonyesha ligi nzima mwanzoni. Ni process ndefu na inahitaji pesa nyingi, coz soka ni biashara kubwa karne hii.
Kuna mmoja alisema kuwa Azam aweza kutumia njia ya kiswahili afrika mashariki kama kigezo cha kuombea haki za kuonyesha mpira, yes we're a commonwealth country lakini sisi tunaongea kiswahili zaidi ya kiingereza, watazamaji wetu wangependa kupata live coverage kwa lugha wanayoielewa zaidi, that could be a gear.
Sio lazima aanze kushindana na DStv kuonyesha ligi zote za ulaya, he could start with Spain Germany or Italy, mbona atapata clients...japo gharama zitaongezeka, lakini zitamfanya Dstv ashtuke kidogo. Ndio contract ya sasa baina ya EPL na Dstv ni exclusive kwa nchi za chini ya jangwa la Sahara, lakini still Azam aweza kuingia taratibu. In this world, nothing is certain except Death & Tax mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Niliongea na afisa mmoja wa Azam tv alisema wanafuatilia kibali ila bado hawajapewa.Azam yupo tayari na ana uwezo hata sasa hivi sema kibali kukipata ni process kidogo.


Inawezekana sana mkuu, sema its a long term process. Usitegemee haya kufanyika kwa kipindi kifupi, lakini kama amenuia anaweza. Ana pesa...
 
Back
Top Bottom