Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 8,519
- 10,755
Mwenye uzoefu na kisimbuzi cha TING atuwekee hapa.
kama we mtu wa dini saana bas kanunue TING itakufaa.
Mwenye uzoefu na kisimbuzi cha TING atuwekee hapa.
Loh hapo kumbe TZ ni nafuu...maana kwa rate ya 1KSH= 20 TSH....kwa ksh. 8500 ni sawa na TSh . 170,000/-
Unaota? Hao wachina wako walishapigwa ngwara kitambo,....nao wanmechangia Dstv kupandisha gharama hasa kwani makaburu walitumia pesa nyingi kununua makufuri na kujenga mageti.eeh Mungu mpe maisha marefu mchina kwa kutuletea QSAT japo tunaipata d*tv free kwa kusuasua
Tamu ni QSat bandle la 2000 kwenye line ya Tigo au mtandao wowote, tosha mwezi mzima. Channel zotee za DSTV zinapatikana
ni kweli dstv ni bomba sana tatizo hawajayajua maisha ya mtanzania halisi....
Dstv tunakoendea tutakuwa tunaangalia tu zile channel zao za bure za Kichina maana ni Zaidi ya ubeberu huu.Tanzania pekee dstv ndio bei kubwa.
Mkuu bei zao nadhan ziko constant tatizo ni sh yetu haueleweki sasa kama wanaitaji dolla unategemea tsh iwe palepale
Kama Shilling inazidi kuporomoka,mtanunua bundle kwa million.
Si mnachagua ma-handsome bhana.
Kaburu mnamlaumu bure.
Blame your dunderheaded officials.
eeh Mungu mpe maisha marefu mchina kwa kutuletea QSAT japo tunaipata d*tv free kwa kusuasua
yaani DSTV soon mtatokomea.mambo ya kuongeza bei za bundle kwa mwaka sijui mara ngapi..mtapoteza wateja..
kile kifurushi cha bei ndogo sasa ni 18,500/
hivyo vingine sivipatii picha.
ngonja nikajitafutie kingamuzi changu cha startimes nilichoweka uvunguni
eeh Mungu mpe maisha marefu mchina kwa kutuletea QSAT japo tunaipata d*tv free kwa kusuasua
Kenya kifurushi hicho hicho ni KSH 8500.
Premium....TZS.160,000 na ushee...!
Startimes? Mtu aliyezowea DSTV hana cha kuangalia huko 'ataboreka" tu!
Tamu ni QSat bandle la 2000 kwenye line ya Tigo au mtandao wowote, tosha mwezi mzima. Channel zotee za DSTV zinapatikana[/QUOTE}Kiongozi wanapatikana wapi hawa niwapelekee pesa jumatatu ? Thanks in advance for your tireless efforts to make my life a little bit easier.
yaani DSTV soon mtatokomea.mambo ya kuongeza bei za bundle kwa mwaka sijui mara ngapi..mtapoteza wateja..
kile kifurushi cha bei ndogo sasa ni 18,500/
hivyo vingine sivipatii picha.
ngonja nikajitafutie kingamuzi changu cha startimes nilichoweka uvunguni
Dola inapanda au inashuka? Hapo ndo tatizo linapoanzia.