Jana wakati nawatch mechi ya Madrid na Barcelona niligundua kitu ambacho sikuwa nakifuatilia hapo kabla. The picture quality za DSTV ni zaidi ya clear kiasi kwamba hata ikidondoka sindano waweza iona. Nikakumbuka zile channel zetu kwenye Star Times Dah! Anyway what i wanted to say ni kwamba if you need a tv highest experience go for DSTV
Premium $ 80
compact plus $ 50
Compact $ 40
family $ 30
ya mwisho kabisa sikumbuki jina lake ni $ 15
zenye live sports hapo ni Premium na compact plus.
Mimi natumia compact plus
Jana wakati nawatch mechi ya Madrid na Barcelona niligundua kitu ambacho sikuwa nakifuatilia hapo kabla. The picture quality za DSTV ni zaidi ya clear kiasi kwamba hata ikidondoka sindano waweza iona. Nikakumbuka zile channel zetu kwenye Star Times Dah! Anyway what i wanted to say ni kwamba if you need a tv highest experience go for DSTV
StarTimes Janga la Taifa Channel Nyingi Quality zake ni mbovu,baadhi ya channel zenye quality mbovu ni mliman,clouds tv,sibuka!! Nitanunua DSTV wakianza kurusha Local Channels zote!
Dah mkuu kama ile mechi ya juzi ya supa copa nadhani walikuwa wanachukua kutoka Sky Sport HD, dah mpaka inafurahisha kuangalia. Nataka nizichange change nihamie kwenye HD asee