KERO DSTV ni Mr. Kuku wa kikaburu

KERO DSTV ni Mr. Kuku wa kikaburu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,378
Reaction score
28,515
Siwashangai Ghana kuwapa miezi miwili hawa peremende kushusha bei ya vifurushi vyao au waondoke nchini humo.

Hawa jamaa ni pure trash🚮🚮

Wanachouza ni ile status ila kiukweli hizi contents zao hazistahili hizi bei
 
Nilinunua dstv mwaka 2021 kifurushi cha bomba kikiwa 21000, leo hii napata ujumbe mwezi ujao natakiwa nilipie 27500, haya mabadiliko ya hii bei ni ndani ya miaka nne, hawa jamaa tusipowakimbia wataendelea kutunyoosha
 
Saaannnaaa mkuu, matapeli hawa
 
Siwashangai Ghana kuwapa miezi miwili hawa peremende kushusha bei ya vifurushi vyao au waondoke nchini humo.

Hawa jamaa ni pure trash🚮🚮

Wanachouza ni ile status ila kiukweli hizi contents zao hazistahili hizi bei
.SHIDA NI UMASKINI WAKO. YAANI UNAONA HIYO PESA NI NYINGI HALAFU UNAENDA MBALI KUSEMA HAWANA KITU? WEWE KAANGALIE AZAM. DSTV WAACHIE WENYE WENYE UWEZO. MIMI NIKIWA TZ NATUMIA EXPLORE ULIZA BEI YAKE KWA MWEZI. HULAZIMISHWI KUTUMIA DSTV. IPO AZAM YA WALALAHOI NA KISWAZI
 
Nilinunua dstv mwaka 2021 kifurushi cha bomba kikiwa 21000, leo hii napata ujumbe mwezi ujao natakiwa nilipie 27500, haya mabadiliko ya hii bei ni ndani ya miaka nne, hawa jamaa tusipowakimbia wataendelea kutunyoosha
Kanunue kwa Ostaz mwenzako wa ice cream
 
Back
Top Bottom