Utopolo na kiremba chako [emoji41][emoji41][emoji41]Hiki kitu nilikuwa nawaambia wenzangu leo tu baada ya kugundua hii michuano ya CAFCL haitaoneshwa. Na hapo walianzia kuanzia zile game za kufuzu WC mechi zote 2 za Stars hawakuzionesha.
Yani tulipe pesa kwenye king'amuzi chao bado tulipie mabando kustream live game nyingine ambazo hawazioneshi.
Wameishiwa.
Wewe nae nimekuchoka bwana, huna jipya kila siku hilohilo tu?Utopolo na kiremba chako [emoji41][emoji41][emoji41]
mkuu unafanyaje ukitaka kustream mpira kama unatumia Smart Tv, tupe maujanja.Unlimited internet ni around elfu 70 kwa mwezi mpaka laki na 20 kwa mwezi. Inategemea na ISP anaekuuzia net.
Mimi silipii kingamuzi chochote.
Nalipia unlimited internet zuku 70,000 kwa mwezi
Azam hapati EPL...HAPATI.Dstv ukiachana na EPL na Champions league matches hawana cha kuoffer kwa fans wake imagine CAF Champions league hawataonyesha games zao AZAM akipata tender ya kuonesha EPL na Champions league fixtures kesho yake mapema asubuhi nitaliuza dish Lao kwa watu wengine
🤣🤣Wewe nae nimekuchoka bwana, huna jipya kila siku hilohilo tu?
Download APK ya dezor tafuta channel inayoonyesha mpira unaotakamkuu unafanyaje ukitaka kustream mpira kama unatumia Smart Tv, tupe maujanja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekeshaAzam hapati EPL...HAPATI.
Hata dstv mvua ikinyesha sana mitambo yao inakata.Azam huku huku ambako ukivuma tu upepo matangazo yanakata??? Duh sijui ila kwa kweli "burudani kwa wote" ni kichomi kwa sasa, yaani ikinyesha mvua tu ujue jiandae kuweka flash
Sasa hiki ni kitu cha kuzingatiwa, kwanini mtu una dishi lakini upepo wa feni ya asili ukivuma tu mawimbi yanakatika kama zile zama za zungusha antena elekezea mjini???
WABORESHE MITAMBO YAO
Airtel 70k unakula zako unlimited internet kwa mwezi mzimaAkinunua bando la 60 linamtosha kustream mwezi mzima?
Hii inapatikana vipiAirtel 70k unakula zako unlimited internet kwa mwezi mzima
Azam hawezi pata tenda ya kuonesha EPL, maana hapo DStv kajikita kama vile kanjibai alivyojikita kwenye jezi za Simba na ile Mo ExtraDstv ukiachana na EPL na Champions league matches hawana cha kuoffer kwa fans wake imagine CAF Champions league hawataonyesha games zao AZAM akipata tender ya kuonesha EPL na Champions league fixtures kesho yake mapema asubuhi nitaliuza dish Lao kwa watu wengine
Cha antenna 49000.dish 75000Wanauzaje
Bora nikinunue wiki hii hii