computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Hiyo 60K ungelipia W-Fi katika Smart Tv yako ungenufaika na mengiMkuu umesema kweli tupu. Hawa jamaa siwaelewi kabisa. Mtu unalipia kifurushi Cha Compact (TSh 60,000/= kwa mwezi) halafu huoni mechi za CAF CL, World cup qualifiers kwa timu za Africa etc. Sasa hizo super sports zao ni zipi?
Akinunua bando la 60 linamtosha kustream mwezi mzima?Hiyo 60K ungelipia W-Fi katika Smart Tv yako ungenufaika na mengi
NdioAkinunua bando la 60 linamtosha kustream mwezi mzima?
azam wameshusha sana bei ya vingamuziMwenyewe naachana na DSTV soon
Wanauzajeazam wameshusha sana bei ya vingamuzi
Dstv ukiachana na EPL na Champions league matches hawana cha kuoffer kwa fans wake imagine CAF Champions league hawataonyesha games zao AZAM akipata tender ya kuonesha EPL na Champions league fixtures kesho yake mapema asubuhi nitaliuza dish Lao kwa watu wengine