DSTV Mobile & Vodacom 3G inafanyaje kazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DSTV Mobile & Vodacom 3G inafanyaje kazi?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tototundu, May 9, 2011.

 1. tototundu

  tototundu Senior Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jana niliona taarifa kwenye media mbalimbali kuwa DSTV Tanzania wameanzisha huduma mpya kwa watu wenye simu za 3G wanaotumia mtandao wa Vodacom kupata service ya DSTV mobile kwenye simu zao. Teknolojia hii ya TV kwa simu zenye uwezo wa 3G ipo pia Afrika Kusini, na ni tofauti na ile inayopatikana Ghana, Kenya na Nigeria inayotumia teknolojia ya DVB-H (Digital Video Broadcasting for Handhelds).

  Ikiwa mimi ni mteja wa Vodacom na nina simu yenye 3G, na nipo eneo ambalo 3G inapatikana, ni vipi naweza kupata access ya hiyo huduma ya DSTV Mobile?
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Jaribu kastama kea ya DSTV watakuwa na majibu
   
 3. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,720
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Inawezekana lakini utaweza kulipia vifurushi vya internet ukiachilia mbali pesa ya mwezi
  ya dstv.
   
 4. tototundu

  tototundu Senior Member

  #4
  May 9, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa utaratibu wa africa kusini, unalipia kwa mwezi Rand 39, hizo wanagawana Vodacom na DSTV. Data charges (bundles) hazi apply kwenye service hii, hakuna charges nyingine.
  Unapata kati ya channel 9 na 11.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  umeulizwa kuhusu Tanzania unajibu sa
   
 6. tototundu

  tototundu Senior Member

  #6
  May 9, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Teknolojia hii inatumika Afrika Kusini kwa sasa, ndio maana nikaleta uzoefu wa huko, off course itakuwa tofauti, ingawa sidhani settings zitatofautiana sana.
   
 7. f

  freddlee New Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  helo

  ukiwa na simu ya 3g unaweza kutumia huduma hii, kulingana na maelezo ya vodacom wanasema huduma hii ni free (all data free) wanasema no charge apply when using dstv mobile, nilipojaribu kuangalia ilitakiwa kusajili kwanza baada ya hapo ikaja list ya channel then nikachagua channel nilotaka kuangalia, ila baada ya mda mfupi ikakata, niliangalia balance nikakuta nina 0.00 na kulikua na sh 900 na ckuangalia hata kwa dakika mbili , nilipiga simu nikauliza customer care akasema hawakati hela nilipomwambia mbona nimekatwa alisema nisubiri then akakata simu, nilipopiga mara ya pili niliambiwa na mtoa huduma kuna gharama za internet zinatumika hivyo inanibidi kununua bundle nilipouliza wanachaji kiasi gani ili niweze kununua bundle ya kutosha alisema hafahamu akakata simu, sikuridhika nikapiga simu tena akapokea mwingine nilipomuuliza kama naweza kujiunga na bomba ( unlimited internet ambako kuna ya wiki wanachaji elfu 10, na mwezi elfu 30) ili niweze kutumia dstv mobile alinijibu dstv mobile haihusiani na internet bundle wanachaji hela ya kawaida kwenye simu, ilinisikitisha sana kuona watoa huduma wanapingana, na gharama ni kubwa kiasi kwamba almst ni zaidi ya tsh 600 kwa dakika, je nikitaka kuangalia saa moja itakua kiasi gani..mpaka sasa sitaki kutumia huduma hio kutokana na gharama ( unafuu pekee ni kwamba hulipii huduma za mwezi za dstv)
   
 8. f

  freddlee New Member

  #8
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fungua wap.vodacom.co.tz then kuna icon ya dstv mobile icon, select na fuata maelekezo ni rahisi na yanaeleweka, utatakiwa kusign up baada ya hapo utaweza kuona channel zote, chagua channel unayotaka kuangalia kwa kubonyeza watch now, yanakuja maelezo kuomba kuconnect kwenye server bonyeza "yes" baada ya hapo utaona channel ulioichagua
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Hii huduma inatakiwa na inatangazwa kuwa ni bure, haitakiwi kula data bundle wala hela kwenye simu, ila inaelekea Voda wamechemsha au wanafanya makusudi kuwaibia watu hela inaenda kama kawaida.
   
 10. A

  Alfoma Member

  #10
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe zile siku za mwanzo tuliliwa wengi eeh nlifkiri ni mm mwenyewe!!!!
   
 11. m

  mussa timbanga New Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello commute
   
 12. kholo

  kholo JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 411
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  wakuu habar zen! Hii huduma nimewah kuitumia kama miez mitatu au minne hiv iliyopita na ilikuwa free kama ambavyo wamekuwa wakitangaza ila siku za hiv karibuni nimejaribu kukonekt nikaambiwa kuwa huduma hii not available, asa sijui ndo washaanza kuvuna? Maana hii nchi yetu nayo sasa!
   
Loading...