mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Vifurushi vya Dstv vitapunguzwa bei kuanzia Septemba 1/2019 kama inavyoomekana. Kwahiyo ni mwendo wa kuserereka tu! Kama sio Dstv chomoa betri!Siku utakaposikia Azam wanaonyesha EPL. Ujue kifurushi Kutakuwa elfu 50.