Dstv Kuonesha Championship, Carabao Cup....

Dstv Kuonesha Championship, Carabao Cup....

DSTV IS THE BEST. SEMA NYIE WA USWAHILIN HAMWEZI KUIELEWA.

Hata kama una Azam au kisimbuzi chochote unaweza kuangalia Championship (EFL) kupitia FOX SPORTS 1&2.
.
Msitishike wadau DSTV tupa kule hilo nunua weka sehemu ya biashara not home, bei ya kifurushi inazidi bei ya kukinunua chenyewe ujinga gani huo
 
Wakati wengi wakiwa na mategemeo ya Azam kuonesha EPL siku zijazo hawa jamaa wa DSTV wanazidi kukaba kila angle, sasa hivi wamechukua Champioship football, hili ni daraja la chini ya EPL. Mshindi wa kwanza na wa pili wanapanda Premier League huku mshindi wa tatu,nne,tano na sita wanagombea nafasi moja ya kupanda EPL pia.

Kwa kifupi Championship kuna mpira wa kasi na ushindani wa hali ya juu. Sisi wapenzi wa mpira sasa itakuwa hakuna kuzima TV. Itaoneshwa SS10
Waifanye SS10 iwe HD
 
Siku utakaposikia Azam wanaonyesha EPL. Ujue kifurushi Kutakuwa elfu 50.
 
Back
Top Bottom