Dstv Kuonesha Championship, Carabao Cup....

Dstv Kuonesha Championship, Carabao Cup....

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
60,289
Reaction score
138,802
Wakati wengi wakiwa na mategemeo ya Azam kuonesha EPL siku zijazo hawa jamaa wa DSTV wanazidi kukaba kila angle, sasa hivi wamechukua Champioship football, hili ni daraja la chini ya EPL. Mshindi wa kwanza na wa pili wanapanda Premier League huku mshindi wa tatu,nne,tano na sita wanagombea nafasi moja ya kupanda EPL pia.

Kwa kifupi Championship kuna mpira wa kasi na ushindani wa hali ya juu. Sisi wapenzi wa mpira sasa itakuwa hakuna kuzima TV. Itaoneshwa SS10
 
Hata kama una Azam au kisimbuzi chochote unaweza kuangalia Championship (EFL) kupitia FOX SPORTS 1&2.
.
Msitishike wadau DSTV tupa kule hilo nunua weka sehemu ya biashara not home, bei ya kifurushi inazidi bei ya kukinunua chenyewe ujinga gani huo
 
DSTV hovyo sana...walikuwa wanaonesha NBA sijui nini kiliwafanya waache

Before 2012 walikuwa na ESPN1 na ESPN2, mwaka huo ESPN wakasema wanajiondoa Africa, DSTV ikabidi wabid kuonesha kwa misimu mitatu, ilivyoisha ndiyo ikawa moja kwa moja.

Coverage ya ESPN ilikuwa nzuri sana. Tokea hapo mimi ladha ya DSTV iliisha.
 
Okay...
 
Back
Top Bottom