Chumvi yao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,581
- 5,563
Niaje niaje.............hivi nyie DSTV NI WATOA HUDUMA KWENYE HII TANZANIA KWELI AU MKO SA??............PESA MNAPOKEA HARAFU MNALADHIMISHA MTU APANDE KIFURUSHI ILI AGUNDUE NINI?? ILI AMUANGALIE HUYO KIM KARDIASHIAN AU NGUZU AU HIZO BONGO MOVIE ZENU..............HAKI YA NANI HII NI KAMPUNI YA WAJINGA SANA.................NIKIENDELEA TENA KUTUMIA HII KAMPUNI MKUSBSHSHSJSJGSHSHJSHHS WANGU UPITE MELI
ukiwa umezoea DSTV unazoea picha full HD azam unaona utopolo na HD yao ya kidwanziNiaje niaje.............hivi nyie DSTV NI WATOA HUDUMA KWENYE HII TANZANIA KWELI AU MKO SA??............PESA MNAPOKEA HARAFU MNALADHIMISHA MTU APANDE KIFURUSHI ILI AGUNDUE NINI?? ILI AMUANGALIE HUYO KIM KARDIASHIAN AU NGUZU AU HIZO BONGO MOVIE ZENU..............HAKI YA NANI HII NI KAMPUNI YA WAJINGA SANA.................NIKIENDELEA TENA KUTUMIA HII KAMPUNI MKUSBSHSHSJSJGSHSHJSHHS WANGU UPITE MELI
SureDStv ni Kama CCM,their future as leaders is uncertain.
Grow up idiot, kwan ukiwajibu huitaji huduma hiyo kuna shida? Sema hapana tu, hawakulazimishiNiaje niaje.............hivi nyie Dstv ni watoa huduma kwenye hii tanzania kweli au mko sa? pesa mnapokea harafu mnaladhimisha mtu apande kifurushi ili agundue nini?? Ili amuangalie huyo kim kardiashian au nguzu au hizo bongo movie zenu.
Hiyo Changamoto mbona wengine haipo ?Niaje niaje.............hivi nyie Dstv ni watoa huduma kwenye hii tanzania kweli au mko sa? pesa mnapokea harafu mnaladhimisha mtu apande kifurushi ili agundue nini?? Ili amuangalie huyo kim kardiashian au nguzu au hizo bongo movie zenu.
Huyu atakuwa na dstv ya mchongo.. Dstv ndiyo king'amuzi bora kwa huduma zake kuliko uchafu mwingine wowote ule.Hiyo Changamoto mbona wengine haipo ?
Nipo na DSTV zaidi ya miaka 15 na sijawahi kujuta. Huduma ni nzuri sana.Huyu atakuwa na dstv ya mchongo.. Dstv ndiyo king'amuzi bora kwa huduma zake kuliko uchafu mwingine wowote ule.
Sisi wa zuku wa kifurushi cha premium kwa buku tatu, tunacheeeka.Huna pesa dogo. DSTV tunatumia zaidi ya miaka 20 sasa wala hawana longo longo. Katumie AzAm DSTV tunatumia wenye pesa. Na inashangaza wana gharama za chini sana kuliko huduma nzuri wanayotupa.
Uzuri wake ni nini Mkuu? Maana familia yangu eanasema hawaoni cha Maana katika DSTV na kwamba bora niwarudishie star times yao.Nipo na DSTV zaidi ya miaka 15 na sijawahi kujuta. Huduma ni nzuri sana.
Kama una mke ulimuokota kwenye vigodoro hawezi kuipenda DSTVUzuri wake ni nini Mkuu? Maana familia yangu eanasema hawaoni cha Maana katika DSTV na kwamba bora niwarudishie star times yao.
Hutaki unaachaNiaje niaje.............hivi nyie Dstv ni watoa huduma kwenye hii tanzania kweli au mko sa? pesa mnapokea harafu mnaladhimisha mtu apande kifurushi ili agundue nini?? Ili amuangalie huyo kim kardiashian au nguzu au hizo bongo movie zenu.