DSTV inafungwa kwa sh ngapi?

DSTV inafungwa kwa sh ngapi?

iYou want to close dstv in your jouse ?? very cheap and you see many channel 600 and more. me i use dstv because am big man. pay 125000 per month and see yourself Liverpool my tean win many match agaist Manyuum Liverpool number one now. like Yanga wo good team i like.

english wito jamani.
 
Gharama ya system nzima, dish, king'amuzi na accessories zake ni 150,000/-. Vifurushi vinaanzia elfu 20 (access), kabla ya hapo hii access ilikua 16,500. Kama utahitaji, nitumie namba yako kwa pm

Naomba namba yako,au unitumie kwenye PM.
 
Usimdanganye mwenzako local chanel kuna chanel 10, star tv na tbc

Ni kweli local channels ni hizo tatu ulizozitaja, lakini kama hujafanya malipo ya mwezi hakuna local channel hata moja ambayo utaiona. Labda kama hayo mabadiliko ya local channels kuwa free hata usipofanya malipo ya mwezi yameanza jana, otherwise huwezi ziona.
 
utapata CCTV pekee kama hujalipa access.
 
...samahani, hivi hawa DSTV wana vile ving'amuzi ambavyo unaweza chumbani ukawa unatazama channel nyingine na sebuleni wanaangalia nyingine? ile inakuwa bei gani,
 
Dstv set yaani dish,dekoda pamoja na cable ni 129000.hiyo ni pamoja na kufungiwa ila inategemea unaishi umbali gani kutoka ofc za Dstv au wakala aliye karibu .
Malipo inategemea na kifurushi'cha chini ni 17000 na juu ni 138000 kwa mwezi'
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ofc za dstv 0222199600'au nipigie 0756147252
 
Uko Dstv be serious nipige
 
Back
Top Bottom