Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,732
Kuona mpira sio basic human need. Kama vipi kaangalizie mpira bar. Au kama wife anakubana mwambie akuchangie uwe unaangalizia mpira nyumbani.
hauko informed mkuu.. anyways nasikia mnaeza mkachangia account kama watu kumi kiilipa iyo lak mbili.. haijalishi uko mkoa gani
kama uko interested ndo ufatilie.. sihitaji dstv kucheki epl ndo maana sikufatilia..[emoji12] [emoji12] [emoji12]Kaka kweli ukiwa mtanzania Ni Tabu, kwanza hauko informed, pili nimesika kumbe hauna uhakika
ligi zote wanazozionesha ukijumlisha gharama zake hazifikii ligi ya uingereza, na ligi kama ya la liga, bundes liga etc sio exclusive kwa dstv unaweza ziona azam, startimes na kampuni nyengine hivyo wao dstv hawalipi hela nyingi, ni kwenye epl ndio wanapolipa hizo hela nyingi.Hahaahahahhah unajua running cost zao? unajua ni ligi ngapi wanazionesha?
Ndiyo maana local channels aidha bure ama kiasi kidogo, ndiyo maana kuna madaraja kila konaHabari wana jamvi.
Sina nia mbaya na biashara za watu Lakini kwa hili.....wacha nitoe ya moyoni.
Ninapenda sana kuangalia mpira wa miguu hasa wa Uingereza (EPL); tatizo langu ni kuona DStv anang'ang'ania Africa nzima awe yeye........anyway, sio mbaya kwa hilo.
Shida yangu ni gharama zake zisizoendana na uhalisia wa kipato cha wapenda mpira, vijana kama mimi tusio na uwezo wa gharama zake.
Kulipa Tsh 219,000/- kwa mwezi ili hali kipato changu ni Tsh 350,000/- kwa mwezi hilo ni janga kwangu.
Ningependa ujumbe huu uwafikie mabosi wa kampuni ili watambue hilo.
Asante!
NAWASILISHA.
I was considering the Macan. But I dont really need it.
Reliable and comfortable transportation.What do you exactly need?
Wants ni Kama hamu. U can't satisfy it na ni unlimited.Reliable and comfortable transportation.
I differentiate wants and needs.
Hivi kwa kifurushi hiko naweza ona Epl?Lipia....84;500/= Uone .
Euro 2016
Hivi kwa kifurushi hiko naweza ona Epl?
Pia waweza fatilia UERO 2016...kupitia tv za Ufaransa ambazo zinapatikana kwenye Dstv
Mfano...
726....InfoSport
Ambayo inapatikana kwenye kifurushi kidogo kabisaa cha Dstv