DSTV bureee full maujanja mjini hapa

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
wakuu wote wa tanzania kipato cha chini. hivyo kizuri kula na wwenzako
kwa wale wapenzi wa DSTV instead of kulipia 120 kwa mwezi na bla bla ahhahaha watu wameoibua chimbo.
anayetaka huduma ya dstv na mautundu ani pm
samahani siwezi weka mautundu hadharani wakuuu
 
Nimekupm mkuu
 
ii kitu ipo kwa zaidi ya miaka saba-nane.... na sio bongo tu, ila sasa huu uvuvuzela utawaamsha wazibe line!! sijawahi kusikia mwizi akipiga mbinja kwamba nimeiba leo nyumba fulani

labda uwe mag@mba
 
Mzee nimeshaku PM. Nashukuru sana.
 
ii kitu ipo kwa zaidi ya miaka saba-nane.... na sio bongo tu, ila sasa huu uvuvuzela utawaamsha wazibe line!! sijawahi kusikia mwizi akipiga mbinja kwamba nimeiba leo nyumba fulani

labda uwe mag@mba

Kweli huu jamaa anaharibu deal...
 
ii kitu ipo kwa zaidi ya miaka saba-nane.... na sio bongo tu, ila sasa huu uvuvuzela utawaamsha wazibe line!! sijawahi kusikia mwizi akipiga mbinja kwamba nimeiba leo nyumba fulani

labda uwe mag@mba
Wewe ulijuaje kama haukuambiwa na nduguyo? kama wewe ni mchoyo wa kutoa acha jamaa awape ujuzi wadau, kizuri kula na nduguyo bana. We unafkiri hata usipotangaza hawatagundua loopholes na kuziba? wakiziba wajanja wanatafuta pengine wanatoboa!:eyebrows:
 
Yes, but not in a media like this... wiki tatu tu zijazo utasikia ile link imekatwa aisee....

Sorry if i differ with you or anyone, ila nimesema tu kwamba mwizi wa mbinja si mjanja!!! remember it is not right!!!
 
Maujanja kama haya yote yanapatkana online, na sidhani kama yameanzia bongo, kuna blogs na forums wamejaa wachakachuzi wanapeana ujanja, kuna loopholes zipo nyingi sana kaka, na kwa vile hawa jamaa wameajiri wataalam pia ni lazima wagundue tu. btw kwani wewe hiyo loophole ungependa kuitumia milele? hahahaa. Pamoja kaka.:cool2:
 
Stuka wewe!!achaneni na huyo jamaa inawezekana katumwa na DSTv kutafuta wanolegeza Mapato yao kula channel buree.
Kama vipi TUMPOTEZEEE nduguzangu.
 
Tatizo ni pale utakapo mPM mtu wa DSTV na kumpa hayo maujanja.

Sumu ya ufisadi imeenea kila pahali.
 
haaa huyu anazingua tu i am sure hatampa mtu maujanja sidhan kama kuna aliye m pm akampa maujanja anayodai anayo.
Anazingua tu ka aliye leta thread eti watu wa m pm awape maujanja ya ku hack airtel internet.
 
tukiwakamata muwe na million kumi as faini la sivyo waweza kuingia jela kwa miaka hadi mitano
Be careful and what you wish...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom