Mimi nimejikuta namgombeza mwanangu alipokuwa ananiuliza swali kwenye homework yake
kisiasa kujuuzuru kwa Mawaziri waliobainishwa kulikuwa na tija ccm ila hivi walivyofanya wanaifanya vyama vya upinzani kujijenga na ccm kuzidi kupolomoka
kisiasa kujuuzuru kwa Mawaziri waliobainishwa kulikuwa na tija ccm ila hivi walivyofanya wanaifanya vyama vya upinzani kujijenga na ccm kuzidi kupolomoka
Wenye hekima wanasema "kufa kwa nyani miti yote huteleza" Historia inaonesha mara zote vyama tawala vinapokaribia kufa, hufanya makosa mengi ya kiufundi ambayo wao hufikiri ndio wanapatia, fuatilia vizuri kabla ya kifo cha KANU nini kilitokea! haya makosa ambayo CCM wanayafanya ndo yanawapeleka kaburini. Ingekuwa heri kwao kama mawaziri wangejiuzuru, hii ingempa Nape nguvu zaidi ya kuongea na kusema ndo wanazidi kuwang'oa mafisadi taratibu, hii inge-sound kidogo kwa wananchi, kuliko hii ya kuanza uchunguzi mpya ambapo inaonesha waziri Mkuu hamwamini NA haamini uchuguzi na ripoti iliyotolewa na Mkaguzi mkuu wa Serikali!
John Heche
Unafiki wa wabunge wa ccm umedhihirika leo waliongea kwa hisia za kinafiki na kujifanya wanapenda nchii kumbe wanapenda matumbo yao na chama chao, hakuna aliejiuzulu sisi tutakwenda kwenye mahakama ya umma na watakutana na hasira za wananchi huko, hatutavumilia dharau hizi
John Heche
Tunawashukuru vijana ambao wameamua kutoka ccm na kujiunga na jeshi la ukombozi kwa ajili ya kupigania haki na usawa katika nchi yetu, kesho tutapokea vijana 230 kutoka katika matawi na kata mbalimbali za Dar es salaam baada ya kuchoshwa na porojo za ndani ya chama chao, hakuna kulala mpaka kieleweke.
source FB Heche wall paper
Hii inaitwa twanga kote kote
CAG katoa mapendekezo ni juu ya serikali yako uliyoiweka madarakani kukaa chini kupitia vipengele vyote ikibidi kufuatiwa na kupelekana mahakamani. Serikali makini haikurupuki kufikia maamuzi pasipo kufanya unyambulifu