DSM; Viijana 230 kuhamia CDM kesho

DSM; Viijana 230 kuhamia CDM kesho

John Heche

Unafiki wa wabunge wa ccm umedhihirika leo waliongea kwa hisia za kinafiki na kujifanya wanapenda nchii kumbe wanapenda matumbo yao na chama chao, hakuna aliejiuzulu sisi tutakwenda kwenye mahakama ya umma na watakutana na hasira za wananchi huko, hatutavumilia dharau hizi

John Heche

Tunawashukuru vijana ambao wameamua kutoka ccm na kujiunga na jeshi la ukombozi kwa ajili ya kupigania haki na usawa katika nchi yetu, kesho tutapokea vijana 230 kutoka katika matawi na kata mbalimbali za Dar es salaam baada ya kuchoshwa na porojo za ndani ya chama chao, hakuna kulala mpaka kieleweke.

source FB Heche wall paper

Hii inaitwa twanga kote kote

Watapokelewa wapi, tuje kushuhudia?

Quality
 
Heche,
Mbona unaongea uwongo mweupe unasema kesho mnapokea vijana 230...labda nikuulize umejuaje hiyo idadi wakati hata bado hawajajiunga?

Mkuu lunch wapi leo?
 
nimeamini maneno yaliyosemwa CCm itafia mikononi mwa ******
 
John Heche

Unafiki wa wabunge wa ccm umedhihirika leo waliongea kwa hisia za kinafiki na kujifanya wanapenda nchii kumbe wanapenda matumbo yao na chama chao, hakuna aliejiuzulu sisi tutakwenda kwenye mahakama ya umma na watakutana na hasira za wananchi huko, hatutavumilia dharau hizi

John Heche

Tunawashukuru vijana ambao wameamua kutoka ccm na kujiunga na jeshi la ukombozi kwa ajili ya kupigania haki na usawa katika nchi yetu, kesho tutapokea vijana 230 kutoka katika matawi na kata mbalimbali za Dar es salaam baada ya kuchoshwa na porojo za ndani ya chama chao, hakuna kulala mpaka kieleweke.

source FB Heche wall paper

Hii inaitwa twanga kote kote

:target::A S 41::mad2::-*:mad2::bowl::shut-mouth::focus:
Hakuna kulala, wabunge wa CCM wamenyea kambi,wao wanalinda maslahi ya chama chao sisi CDM tunalinda maslahi ya masikini wa Tanganyika, itafahamika tu na kitaeleweka huku mtaani watanganyika maskini wamechoka choka mbayaniaje, kila mtanganyika ananalalamika "maisha magumu kwa kila mtanganyika yanawezekana+.:censored::A S-cry::mad2::crying::crying::kev::focus::flypig::flypig::canada::director::juggle::rip::bange::lock1::rain::flame::llama::msela::fish2::humble::fish::clock::drum::behindsofa::clap2::first::roll::bathbaby:
 
Hapa mkuu umeua...
 
Ukiniuliza mimi nimefurai sana kwa jana Pinda na CCM yake kupata kigugumizi kuhusu mawaziri kutowajibika ni vizuri sana maana mbele ya umma serkali inazidi kuonekana ni ya ovyo na hivyo kuongeza hasira dhidi ya CCM na serikali. A blunder after blunder is a blessing in disguise for the opposition and this is the time to capitalize on. Walisema wanavua magamba wakagwaya! Wamesema tumefanya maamuzi magumu tutatangaza wamegwaya! Ni opportunity ilioje.
Kikwete ana sapoti CDM kimtindo na nahisi ana mpango wa kuiua ccm katika kipindi chake cha mwisho
 
Good move Bavicha.

Mie jana baada ya uchovu wa kazi (ukichukulia kwamba jana ilikuwa blue monday) nikajitahidi niweze kufuatilia Bunge la Jmahuri lakini duuu baada ya WM kuhahirisha Bungu nilijisikia vibaya mno kwa kweli nchi imekwenda likizo.
 
Nchi ngumu na kula mara mmoja tu kwa siku...wewe si unakula Break Point jirani na ofisi yenu Billicanas.

Mkuu wewe kweli mgeni hapa mjini.Billicanas ipo jirani na Break Point?
 
Back
Top Bottom