DSE: NMB yapigwa Wimbi Hisa zaporomoka bei kwa 15%

Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
40,388
2,000
Na bado watapigwa hadi pale watakapo sema ukweli kuhusu faida walizotudanganya mwaka huu
 
Mkurugenzi wa itifaki

JF-Expert Member
Jan 15, 2017
1,899
2,000
Kwani zimeshapanda hadi zianze kuporomoka......yeah ILO ndio neno Mkuu Mimi ndio game zangu hizo macheza na fixed narizika na target zangu nilizojiwekea... Hisa ni kama mchezo wa bahati nasibu Kula au kuliwa.....
Kwaiyo sasa hivi hisa za voda zikiuzwa sh 600 utasemaje hapo?
 
Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
6,017
2,000
jahazi linazama...

kwa maoni yangu fixed deposit ni afadhali kuliko hisa kwa awamu hii..

maana rate ya fixed interest ipo juu sana inaenda hadi 14 % per annum.. sasa una milion zako mia.. unatupia tu mwisho wa mwaka unavuta faida milion 14 huku mia yako imekaa tu
Hakuna bank yoyote Tanzania inayotoa 14% ya Riba.
Bank inayotoa Riba kubwa ni 8% ambayo ni Exim bank . Zilizobaki zote zinatoa chini ya apo CRDB bank wanatoa 7.5%kwa mwaka, na nyingine ni 7% zote. Na bado izo zote iyo faida wanakata 10% ya Withholding tax.
Mfano mzuri wa exim bank
Tshs 10,000,000x08%=Tshs 800,000
Iyo faida ya Tshs 800,000x10%=Tshs 80,000
Jumla Tshs 800,000-80,000=Tshs 720,000
Kwa iyo mtu aliyeweka milioni 10 anapata Tshs 720,000
Na aliyeweka million 100 anapata Tshs milioni 7.2
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
5,184
2,000
usipende kujifanya unajua kila kitu... nenda branch ya access bank uliza fdr parcent ngap kwa mwaka.. ukitoka hapo pita finca pia uliza fdr parcent ngap.. na ukitoka urudi hapa kuleta majibu...

jifunze kujifanya mjinga utajua mengi mazuri mazuri.....

nyinyi ndio mnafikiri bank ni crdb na nmb tu

Laury

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,030

Saf sana Mkuu, umeeleweka vizuri..Na tukumbuke hyo 8% ni per annum, ina maana let say hyo hela umeiweka kwa miezi 6 tu..

Ina maana itakuwa 10M×8%×6/12
 
Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
6,017
2,000
usipende kujifanya unajua kila kitu... nenda branch ya access bank uliza fdr parcent ngap kwa mwaka.. ukitoka hapo pita finca pia uliza fdr parcent ngap.. na ukitoka urudi hapa kuleta majibu...

jifunze kujifanya mjinga utajua mengi mazuri mazuri.....

nyinyi ndio mnafikiri bank ni crdb na nmb tu
Apo ndipo watanzania tunakosea, na tunatoka na kulaumu Bank. Fulani kwamba wezi wakupe iyo 14% si kila mtu atakuwa anaweka fixed deposit. Hakuna biashara iyo unless umetajiwa unapata kiasi fulani badala ya asilimia
Hapo kuna insurance, Taxes wakupe yote, mkienda kwa afisa banks muulize na sio na kutoka na kufurahia umepata pesa bila hasara uliyoipata wewe uweke pesa ndefu kwa faida kidogo
 
Kapwela

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
2,012
2,000
Hakuna bank yoyote Tanzania inayotoa 14% ya Riba.
Bank inayotoa Riba kubwa ni 8% ambayo ni Exim bank . Zilizobaki zote zinatoa chini ya apo CRDB bank wanatoa 7.5%kwa mwaka, na nyingine ni 7% zote. Na bado izo zote iyo faida wanakata 10% ya Withholding tax.
Mfano mzuri wa exim bank
Tshs 10,000,000x08%=Tshs 800,000
Iyo faida ya Tshs 800,000x10%=Tshs 80,000
Jumla XTshs 800,000-80,000=Tshs 720,000
Kwa iyo mtu aliyeweka milioni 10 anapata Tshs 720,000
Na aliyeweka million 100 anapata Tshs milioni 7.2
Mkuu hujazifuatilia benki zingine.

Hiyo 8% labda ulilinganisha tu na CRDB na NBC tu.
 
Kapwela

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
2,012
2,000
Apo ndipo watanzania tunakosea, na tunatoka na kulaumu Bank. Fulani kwamba wezi wakupe iyo 14% si kila mtu atakuwa anaweka fixed deposit. Hakuna biashara iyo unless umetajiwa unapata kiasi fulani badala ya asilimia
Hapo kuna insurance, Taxes wakupe yote, mkienda kwa afisa banks muulize na sio na kutoka na kufurahia umepata pesa bila hasara uliyoipata wewe uweke pesa ndefu kwa faida kidogo

Yanin ubishe kama hujui?wewe nenda bank alizokutajia.
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,286
2,000
Bank ABC wanatoa 13% hadi 16% kutegemea kwa kiasi unachoweka. Ukiweka 50 M unapata 14.5% kwa mwaka.
 
The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
8,581
2,000
Ni hali ya uchumi mbaya au nini mkuu mpaka hiyo hali inatokea?
Daah braza huwa nnafuatilia mambo yangu tuu humu jf ila umetisha juzi nimeshtuka SAA Tisa nkaona umekoment, nikisoma Uzi mpya top 20 lazima uwepo...inabidi upate tuzo
 
billtheKID

Member
May 6, 2017
33
125
Bank nyingi ni wahuni ukisoma vizuri interest zao unaambiwa up to either hiyo 14% au 16% sasa ukienda kichwa kichwa unakuta kwa vijisenti ulivyoweka unapata ktu ka 6.8% after 6/12 au nusu ya hio kwa 3/12..ni vizuri kuuliza interest range kwa kila amount ya pesa unayoweka.Sometimes ni bora uwekeze kwenye treasury bills na bonds za BOT zina high return xana anyone can invest na hazihitaji pesa mingi,,,wahindi na makampuni ndo wamewekeza huko !..hata commercial banks na wao ndo wanachokifanya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom