Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wakuu kuna Drama katika DSE wale mnaofuatilia Soko hili la Mitaji mtakua mmeliona Baada ya Ikulu Kutangaza Kuwa itatoa Ripoti ya Mchanga ambao wa Madini ambao hupelekwa Nje ya Nchi na Kampuni ya ACA zamani BARICK inayomiliki Migodi Ya Buzwagi, North Mara na Nyamongo.
Leo Siku ya Jumatano hisa zake zimepanda Bei kwa sh.660/=. Siku ya Jumatatu Closing Share price ya za ACA ilikua ni 12,410 Leo hii hisa ya ACA zina trade kwa sh. 13,070 Kwa kifupi zimefanya Vizuri sana.
Kitakachotokea Kesho au Keshokutwa Mara baada ya Ripoti hii Mimi sijui ila wajanja wameshapiga Pesa tayari Ila na wewe bado una nafasi kauze hisa zako Closing time DSE huwa ni 4:00PM (EAT).
Baada ya Frederick Sumaye Kujiuzulu hisa za CRDB zimepanda kutoka Tsh.185 hadi 200. Pongezi kwa Uongozi wa CRDB.
Jubilee Holdings Ltd imeliza Watu kwa kudondokea pua Bei ya hisa ilikua sh 13,200 kwenda sh.12,120 price changes (-880).
Swali Will ACACIA hold it for a long time? Maana Unaweza kukuta Kesho zimeporomoka kwa 1,000 au zikamantain Activity zozote katika sector za kampuni zilizoko DSE zina impact katika Share price za Kampuni.
UPDATE: Closing share Price ya jioni hii ni 10,990 Asubuhi zilikua zinauzwa kwa 13,070 Poleeni Sana Mlipigwa na Hili Wimbi.