Droidvpn inaconnect lakini siwezi kubrowse, msaada plz

zeromagic

Senior Member
Sep 14, 2016
186
67
droidvpn inakubali kuconnect na kuniambia successful lakn siwez kubrowse kakika internet. msaada kwa anayejua jins ya kutatua hili tatizo
 
inategemea hapo sometime kuna njia nyingi za kutoka, kama vile
-kutumia proxy, ambayo hii nayo ina namna nyingi pia
*unaweza ukatumia proxy baada ya kuconect kama itafunguka proxy unaweza ukabrowse kupitia proxy.
*kuambatanisha proxy na setting zako za droid, hasa hasa kama unatumia TCP, option hii imo ndani ya app ya droid

-kueka local port, mfano umetumia remote port 80 ipo open lakini haibrowse unaweza ukaeka na local port kama 9201 sometime inakubali.
 
shukran chief.
hapo kwenye kutumia proxy.
proxy ipi hua inakubali kuconnect?
 
shukran chief.
hapo kwenye kutumia proxy.
proxy ipi hua inakubali kuconnect?
mara nyingi ni zenye port ya 8080 au 3128 ila sometime hata za port 80 zinakubali. zikiwa transparent ni vizuri zaidi.

kuzipata nenda site ya proxy kama xroxy (google) halafu humo utasearch.

au unaweza ukasearch mfumo huu

xroxy proxy 3128 transparent

zitakuja.
 
asante mkuu.
ila bado sijafanikiwa
proxy nilizojarb karibia zote zinafail
incase unajua au umewah kutumia proxy hapo inayokubali naomba unisaidie
 
test na internet ya kawaida bila proxy,

browser za pc kama firefox na maxthon zina built in proxy tool, tumia hizo kutestia, au huna pc?
 
Back
Top Bottom