Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 824
mpuuz huyo jamaa
huyo dreva hamlipi mshahara?mafut akwa mwezi gari inayokula sana haizid laki 2 hadi tatu.......huyo dreva anamlipa ngapi?
hapo dereva soon atachukua nafasi ya kuwa baba mwenye nyumba
Hiyo mizunguko anayoenda mumewe hajui ni ya wapi na anaenda kufanya nini maana kama hana biashara au shughuli za mjini anaenda wapi
Ni rafiki yangu mkubwa....katika kubana matumizi ya gari mbili mjini akaamua kuajiri dreva ili awe akiwashusha ofisini ,watoto shule na kuwarudia.....sasa anaona kama mke anakua karibu zaidi na huyu dreva wao.....ananiambia siku hizi kila jumamosi mke wake anampigia huyo dreva simu amfuate ampeleke kwenye mizunguko yake...kurudi ni late afternoon and siku ingine jioni......nikamuuliza kwani kuna shida gani dreva kua karibu na bosi wake, jamaa kidogo aniwashe kibao.......Kwa kweli tabia ya vijana wadogo kuajiri vijana wenzao kuwa madereva wa nyumbani ni uvivu wa kupindukia.....haohao ndio wanawaharibu watoto na kuharibu hata ndoa..kuweni makini jamani.
Sasa hapoooo ndo kuna mushkeli. Ila kama anajiamini na huduma atoayo ndani apunguze stress.
Embu mwacheni bibie akachune mabuzi yake! Mume kukukaba hadi chooni inahuuuuuu!
Jamani siyo lazima kwani wanawake wako loose kiasi hicho??? Sasa tutafanya kazi na deal zingine saa ngapi za kuleta hela tukiwa mud a wote ma body guards wa wake zetu??
Mi naamini ulinzi mkubwa kwa mwanamke ni kumshughulikia vzr kwa 6*6, na kumpatia mahitaji muhimu, caring na kumuamini! Hizo nyingine mbwembwe tu.
Eti kina Dada semeni kweli, mkihudumiwa kisawasawa madrivers, gatekeepers, na gardeners, mpemba jirani, au Mangi wa duka watapewa nafasi ya kuwashawishi???
Sasa hivi am 30 Years old, Sitegemei kuajiri Kiumbe yeyote wa Kiume kwa Kazi Yeyote Nyumbani kwangu Mpaka nitakapojaaliwa Kufika 50 Years Old, Majukumu yote yako ndani ya uwezo wangu, ikibidi nitamchukua Kaka yake toka ntoke na wife ndo awe Msaidizi Home...
Full stop...
Mambo mengine ni kuendekeza tu ili uonekane unaweza kutoa ajira kwa wengine.
hee! Hiv kumbe huduma ndani muhimu eeeh!!