Dreva bajaji anusurika kutekwa na watu wanaodhaniwa ni ‘askari’ eneo la JUWATA Morogoro mjini

Dreva bajaji anusurika kutekwa na watu wanaodhaniwa ni ‘askari’ eneo la JUWATA Morogoro mjini

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,812
Reaction score
40,297
Ilivyokuwa

Bajaji ziligongana zenyewe mbili hapo juwata njia ikawa blocked. Watu waliovaa kiraia wakashuka kwenye land cruiser nyeupe tinted wakawa wanawafokea wale bajaji. Mmoja wa wale bajaji akawa anajitetea hawezi kutoa bajaji kutokana na Hali iliyokuwepo mpaka watu wasogee.

Reaction ya majamaa

Wakashuka kwenye land cruiser yao wakamtoa SMG wakitaka kuondoka na jamaa wa bajaji.

Wananchi wazuia

Vijana wa bajaji wakaingilia kati mwenzao asichukuliwe. Wale jamaa wakashindwa kuondoka nae ila wakasema tutampata Hadi kwao na tutamrudia. Hili tukio limetokea asubuhi hii stend ya bajaji JUWATA Morogoro mjini.
 
Akiongezea niite Zuchu nimekaa pale.
madogo wa bajaj waliwatukana jamaa wa kwenye gari hawakujua kama ni polisi baada ya kuambiwa wasukume bajaj pembeni ili wao wawahishe pesa walizokua wanazipeleka kwenye tawi moja la bank lkn matokeo yake wakatukanwa
 
Mm ntajichubua kama michael jackson nani hame africa nanisiwairud kabisa.kwa maana maisha ya kiafrika ni ya kishezi na ya kipuuz
 
Back
Top Bottom