Dressesd to Kill

Dressesd to Kill

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,270
Umeshasikia msemo wa kiingereza wa 'dressed to kill?' Maana yake iko kwenye hii picha.
Msichana kavaa blausi ambayo ndani yake kumejazwa mabomu. Boko Haram hao!
They dress girls to kill!

DRESSED TO KILL.jpg
 
Inauma sana!! Embu fikria kama huyo ndio mwanao? Yeye Innocent na anaenda kuwaua wengine ambao very Innocent, Why men? Killing in the name of god? that god must be very selfish?
 
Inauma sana!! Embu fikria kama huyo ndio mwanao? Yeye Innocent na anaenda kuwaua wengine ambao very Innocent, Why men? Killing in the name of god? that god must be very selfish?
Nildhani ni hii..dressed to kill ..!?
 
Attachments

  • 1422857027456.jpg
    1422857027456.jpg
    34.1 KB · Views: 903
Faizafoxy huwa anawatetea sana hawa,ila Nina uhakika hawezi kumruhusu mwanae avae hilo bomu
 
sometimes nadhani God does not exist why he allow all this thing? why he give Satan power to kill his people? any way
 
sometimes nadhani God does not exist why he allow all this thing? why he give Saturn power to kill his people? any way
Ndio maana hawezi fananishwa na kitu chochote hapa duniani,mwenye huruma ,mwenye upendo na si mwepesi was hasira.Ingekuwa kinyume cha hapo angeshaiteketeza hii dunia long ago,usikate tamaa ya kumuabudu bado anaendelea kuwakusanya walio wake na huwenda ikawa wewe in mmoja wapo.
 
aisee afanye tu kutupoteza aanze moja
 
i say sometimes..... majaribu ya kuua mbona makubwa sana

Yes through this mauaji,Mungu anatupima imani yetu kwake,km we believe his existance and power.
Si unaona hapo hata ww unasema sometimes,kwa maana una mashaka kiasi fulani..
 
Siamini kama Waislam na Wakiristo tunamwabudu Mungu mmoja, kila dini na Mungu wake!
 
Siamini kama Waislam na Wakiristo tunamwabudu Mungu mmoja, kila dini na Mungu wake!
BIGURUBE, mada ni Dressed to kill.Kwa nini unawaingiza waislamu
na wakristo? Do they dress to kill?
 
Last edited by a moderator:
Hao niwatetee nini si dada zenu mnawavalisha upuuzi huo mnawapiga picha ili muutukane Uislam, unafikiri hatujuwi mbinu zenu za kijinga?

Kwa iyo na wale waliomuua mwandishi jana ni mbinu za wakristu!
Iv huwa unatumiaga nini kufikiri?!
 
Back
Top Bottom