Kuna siku nilikutana na wakaka watano ni marasta wakasimama kunipa hi, yani walinisalimia ile kirasta rasta ha ha ha wanaonekana watu wa Amani Ile mbaya nilisikia raha siku nzima lol
Hahaha... Acha tu. Kusema ukweli Weaves, kuweka dawa, sijui rasta, binafsi vilinichosha sana... Rasta hizo ndo unavutwa kichwa mpaka vidonda alafu ndani ya wiki tu yamefumuka.
Umeongezea means umezishonea rasta zingine kwa juu?
Pole utunzaji wa rasta ni easy sana ujitahidi tu kuhudhuria saloon kurepair na upate mtu anaejua kutengeneza vizuri
Hahaha... Acha tu. Kusema ukweli Weaves, kuweka dawa, sijui rasta, binafsi vilinichosha sana... Rasta hizo ndo unavutwa kichwa mpaka vidonda alafu ndani ya wiki tu yamefumuka.