DRC Yaishutumu Rwanda kutuma vikosi vyake nchini humo

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Vikosi vya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) vimeishutumu Rwanda kwa kutuma vikosi maalum kwa kujificha katika ardhi ya nchi hiyo, huku mzozo unaoendelea baina ya nchi hizo ukichochea ghasia mashariki mwa nchi hiyo.

Jeshi la DRC lilidai kuwa wanajeshi 500 waliovalia sare za kijani-nyeusi wametumwa katika eneo la Tshanzu katika jimbo la Kivu Kaskazini, ambalo linapakana na Rwanda na kuwataka wananchi kuchukua tahadhari

...........................................................

The armed forces of the Democratic Republic of the Congo (DRC) have accused Rwanda of sending special forces in disguise into the country’s territory, marking the latest flashpoint in an escalating dispute between the two neighbours over resurgent violence in its east.

DRC’s military alleged that 500 Rwandan soldiers had been deployed in the Tshanzu area in North Kivu province, which borders Rwanda, in a statement issued on Thursday.

It said the soldiers were wearing a green-black uniform different from the regular Rwandan apparel. The statement also called on the local population to exercise caution as well as denounce anyone seen in such clothing.

It added that M23 rebels, allegedly backed by Kigali, had attacked a group of United Nations peacekeeping forces in the Rutshuru area, also in North Kivu, injuring three Tanzanian peacekeepers.

The Reuters news agency quoted a spokesman for Rwanda’s army as saying the claims were false. Meanwhile, a government spokeswoman told Reuters that Kigali would not respond to baseless accusations.

SOURCE: BBC
 
M23 pia imewashambulia jwtz huko Congo, kumuangusha Kagame Sasa ni rahisi Sana,DRC itangaze Vita na Rwanda, Tz isupport kwa kisingizio wanajeshi wake wameuwawa na Majeshi ya Rwanda,maana licha ya Hawa watatu Kuna wengine pia mwaka juzi waliuliwa
 
Ila paka ana tabia za kiwaki sana. Wale wakubwa zake wakichoka kumtumia ataumia.
 
M23 pia imewashambulia jwtz huko Congo, kumuangusha Kagame Sasa ni rahisi Sana,DRC itangaze Vita na Rwanda, Tz isupport kwa kisingizio wanajeshi wake wameuwawa na Majeshi ya Rwanda,maana licha ya Hawa watatu Kuna wengine pia mwaka juzi waliuliwa
Mda huo huo Uganda hawaelewani na Rwanda inakuwa 3 moja
 
M23 pia imewashambulia jwtz huko Congo, kumuangusha Kagame Sasa ni rahisi Sana,DRC itangaze Vita na Rwanda, Tz isupport kwa kisingizio wanajeshi wake wameuwawa na Majeshi ya Rwanda,maana licha ya Hawa watatu Kuna wengine pia mwaka juzi waliuliwa
I salute this comment,kagame should be removed into power immediately
 
M23 pia imewashambulia jwtz huko Congo, kumuangusha Kagame Sasa ni rahisi Sana,DRC itangaze Vita na Rwanda, Tz isupport kwa kisingizio wanajeshi wake wameuwawa na Majeshi ya Rwanda,maana licha ya Hawa watatu Kuna wengine pia mwaka juzi waliuliwa
😂😂😂😂
 
Unataka kufunga mkanda tena kwa miaka 30 ukute kinana ameshauza serengeti yote ?
 
Mungu nijaalie kabla sijakufa niweze kuitembelea RD Congo,sema Amen.
Nalog off Z
 
Back
Top Bottom