Afu unaongea vitu bila kufatilia sjui. uwe unaptapta kwenye vyombo vya habari vya kimataifa utajifunza mengi. unasema watu wanatakiwa kuendelea kuchukua tahadhar hta baada ya chanjo, jibu ni kwamba sio wte wameshachanjwa - ni mpaka waifikie herd immunity, yani 70% ya watu wakichanjwa, we utaona mwenyewe maisha yao yatarud kama kawaida. ndo maana mwanzon kabsa nikakwambia huwez shindana na sayansi utashindwa tu.Mkuu mbona umejiaminisha sana kupita kiasi na ubora wa hizi chanjo kuliko hata hao wataalamu wenyewe? Halafu mbona tahadhari zinatakiwa kuendelea kuchukuliwa hata ukichanjwa kwa hivyo matumizi ya barakoa na sanitizer yataendelea kuwepo tu hivyo huna haja ya kuwaza hayo mambo.
Mkuu, hapa wale wa serikali iagize chanjo naona hapa hawachangii tena. Nisaidie kuwakumbusha kuwa astrazeneca imefika kwa jirani badala ya kuitumia kaiweka pending for a while thinking kn how toTanzania tunaanza kuona umuhimu wetu
Kwanini huko Ulaya na Marekani mafua yanaendelea miaka kibao wakati wanachanjo ya mafua mkuu?Inabidi uelewe kuwa hakuna njia yoyote ya kumaliza ugonjwa wa Covid 19 zaidi ya chanjo. Mi nashangaa unavoonekana kufurahia chanjo kuzuiwa wakati watu wanakufa kila siku kwa corona. Halafu iyo chanjo ya Astrazeneca imeshatolewa kwa zaidi ya watu millioni 17 duniani, na kati yao ni 30 tu ndo wamepata changamoto. Huoni utofauti apo?
ayo mafua n kwa wale wasiochanjwa tu ndo yanawasumbuaKwanini huko Ulaya na Marekani mafua yanaendelea miaka kibao wakati wanachanjo ya mafua mkuu?
Ujerumani na Ufaransa nazo zimeongezeka kwenye list,acha tusubiri uchunguzi.Sasa mbona na nyinyi msha_confirm kwamba zinaleta blood clot bila kuleta majibu ya uchunguzi? Kwani haiwezekani hiyo blood clot ikawa imesababishwa na issue nyingine even thou mtu amechanjwa astrazeneca?
Sasa ndio umeeleza nini cha kunikosoa hapo katika yale niliyosema?Afu unaongea vitu bila kufatilia sjui. uwe unaptapta kwenye vyombo vya habari vya kimataifa utajifunza mengi. unasema watu wanatakiwa kuendelea kuchukua tahadhar hta baada ya chanjo, jibu ni kwamba sio wte wameshachanjwa - ni mpaka waifikie herd immunity, yani 70% ya watu wakichanjwa, we utaona mwenyewe maisha yao yatarud kama kawaida. ndo maana mwanzon kabsa nikakwambia huwez shindana na sayansi utashindwa tu.
Kwahiyo Ufaransa na Ujerumani hakuna wasomi na ndio maana nao wamesitisha matumizi ya hizo chanjo hawajui kwamba zingeokoa maisha ya watu wengi?Yani wewe ukizungumza mbele ya wasomi utachekwa. Yani kweli kabsa unafurahia chanjo kuzuiwa? unajua ingeokoa wangapi. watu wengi wanakufa kwa Covid 19, na hakuna mbadala wa kuzuia vifo ivyo zaidi ya chanjo. Asee bado upo kwenye giza. Nakusikitia sana.
Sawa mkuu hata usa na uk zikiongezeka bado tutasubiri uchunguzi wa WHO.Ujerumani na Ufaransa nazo zimeongezeka kwenye list,acha tusubiri uchunguzi.
Hii ni sayansi sio imani hivyo kinachoangaliwa ni ushahidi tu na si vinginevyo.Sawa mkuu hata usa na uk zikiongezeka bado tutasubiri uchunguzi wa WHO.
Yes ndio maana WHO wanasema wanachunguza kwanza cases hizo za blo0d clot.Hii ni sayansi sio imani hivyo kinachoangaliwa ni ushahidi tu na si vinginevyo.
Means east Afrika ni Rwanda tu ndio wameipokea na kudungwa ,nadhani na KenyaMuseven nae anasema bado wanafikiri aina gani ya chanjo ambayo itafaa.
Nimemuelewa huyu MzeeManeno ya Museveni baada ya mzigo wa chanjo kufika walitegemea yy ataanza kama mfano.
[emoji116][emoji116]
"Katika hotuba yake usiku wa kuamkia leo, Rais Museveni amesema hajapata chanjo bado kwa kuwa yuko makini na ana ulinzi wa kutosha ". Alisema mke wake, Janet Museveni,pia bado hajapata chanjo hiyo."
Source BBC Swahili.
Hivi unadhani Sisi hatuchunguzi?"Waziri wa Afya Eteni Longondo amesema wameamua kuahirisha tarehe ya uzinduzi wa chanjo hiyo kama hatua ya tahadhari, baada ya nchi nyingine kadhaa kufanya uamuzi kama huo. Waziri huyo amesema tarehe mpya ya uzinduzi wa chanjo hio itatangazwa baada ya uchunguzi wa kiserikali na wa Kimataifa."
Zingatia hapo baada ya uchunguziwa kiserikali na wa Kimataifa.
Wengine wanapokea chanjo ili kifurahisha mabwana zaoNimemuelewa huyu Mzee
Hawakujua ni suala la muda tuMkuu, hapa wale wa serikali iagize chanjo naona hapa hawachangii tena. Nisaidie kuwakumbusha kuwa astrazeneca imefika kwa jirani badala ya kuitumia kaiweka pending for a while thinking kn how to
"Sisi" ukikusudia nani?Hivi unadhani Sisi hatuchunguzi?