Kweli mkuu chuma kinanaona mali sanaTanzania tunaanza kuona umuhimu wetu
Hao waganga unaowazungumzia wewe ni kina nani maana waliyoanza kusitisha hizo chanjo ili wafanye uchunguzi ni hao wenyewe wazungu, DRC kwa kuona hivyo ndio nae akaamua kutokufanya haraka kwanza,sasa huyo mganga nani hapo?WHO ina wataalamu wa ukweli kuliko hao waganga wa kienyeji kutoka serikalini....Kama WHO washasema haina madhara na wanaendelea na uchunguzi wao hao waganga ni nani? Kama waganga wao wa kienyeji ni wazuri basi wangeteneza astazeneca ya kutumia kwao ambayo wataiamini....Dawa zozote au chanjo zina side effects kwa baadhi ya watu ,nasema side effects ,narudia tena SIDE EFFECTS....Wataalmu wa WHO wanaangalia positive results na ndio maana walisema hiyo chanjo effective rate yake ni juu ya 85%.
Ndio maana nikasisitiza side effects nilijua tu hauwezi kuelewa,una kichwa kigumu sana,dawa effectiveness yake ni zaidi ya 85% hiyo 15% ndio hayo makandokando ,waache waendelee kususa wenzao wanazidi kuchanja...Dunia ina mataifa zaidi ya 100 ,hao mataifa 7 kukataa ni minority tu.Hao waganga unaowazungumzia wewe ni kina nani maana waliyoanza kusitisha hizo chanjo ili wafanye uchunguzi ni hao wenyewe wazungu, DRC kwa kuona hivyo ndio nae akaamua kutokufanya haraka kwanza,sasa huyo mganga nani hapo?
Halafu mkuu kwani hao WHO hao wataalamu wao hutoka sayari gani si hao hao tu,wakati ule ugonjwa bado upo China wao walituambia nini na uhalisi ukawaje? Sasa usifikiri kila mtu ni mjinga kama wewe anaamini tu,hii sayansi ndio maana hao hao wazungu wenyewe wameamua kusitisha na kufanya uchunguzi ila wewe ndio unajifanya unawajua sana hao WHO kuliko hao wazungu wenyewe.
Tuliambiwa kuwa hizo chanjo side effects zake ni pamoja na kuganda kwa damu? Chanjo zipo kwenye majaribio hizi kuna mengi tu hata hao wataalamu wenyewe hawajui kuhusiana na hizi chanjo.
Mimi na wewe ambaye si muelewa ni nani? Watu wanasema hizo chanjo zina sababisha damu kuganda hivyo wanataka kufanya uchunguzi ila WHO inasema hazina tatizo kwa maana inapinga kuwepo kwa hilo tatizo la kuganda kwa damu,wewe nae ukaleta hoja ya kwamba kila chanjo ina side effect ndio nikakuuliza huko kuganda kwa damu ni katika hizo side effects ya hiyo chanjo?Ndio maana nikasisitiza side effects nilijua tu hauwezi kuelewa,una kichwa kigumu sana,dawa effectiveness yake ni zaidi ya 85% hiyo 15% ndio hayo makandokando ,waache waendelee kususa wenzao wanazidi kuchanja...Dunia ina mataifa zaidi ya 100 ,hao mataifa 7 kukataa ni minority tu.
WHO wameshasema wanaendelea na uchunguzi wa hizo case za kuganda kwa damu ili wajue je ilisababishwa na chanjo au kitu kingine.....Kwani kabla ya chanjo damu kuganda(blood clot) ilikuwa haitokei?Mimi na wewe ambaye si muelewa ni nani? Watu wanasema hizo chanjo zina sababisha damu kuganda hivyo wanataka kufanya uchunguzi ila WHO inasema hazina tatizo kwa maana inapinga kuwepo kwa hilo tatizo la kuganda kwa damu,wewe nae ukaleta hoja ya kwamba kila chanjo ina side effect ndio nikakuuliza huko kuganda kwa damu ni katika hizo side effects ya hiyo chanjo?
Usipingi hilo suala la kufanyia uchunguzi hizo chanjo et kisa kuna watu wengi wameshachanjwa na hawajaganda damu,mambo hayaendi hivyo ukizingatia bado kuna mengi hayajulikani kuhusu hizi yanatakiwa kufanyiwa uchunguzi sasa watu wanataka kufanya uchunguzi wewe unawaona wakorofi.
Sasa kama hadi WHO wanafanyia uchunguzi hilo suala kwanini hizo nchi zilizositisha matumizi ya hizo chanjo uwaone kama watata au sio waelewa? muhimu hapa ni uchunguzi tu.WHO wameshasema wanaendelea na uchunguzi wa hizo case za kuganda kwa damu ili wajue je ilisababishwa na chanjo au kitu kingine.....Kwani kabla ya chanjo damu kuganda(blood clot) ilikuwa haitokei?
WHO ndio wenye mamlaka ya kusema chanjo inafaa au haifai sio hizo nchi,chanjo sio lazima ni option kama wanaona haifai waache na sio kuleta longologo maana hawajalizimishwa......Kati ya walichanjwa ni wote wamepata blood clot?Sasa kama hadi WHO wanafanyia uchunguzi hilo suala kwanini hizo nchi zilizositisha matumizi ya hizo chanjo uwaone kama watata au sio waelewa? muhimu hapa ni uchunguzi tu.
huwezi kupingana na sayansi hta sku moja, itakugharmu. Nchi nyngne wanalilia chanjo we uko hpa unapinga tu. Unataka kuonekana unajua sana. ayo maombi unayoomba chanjo ifeli ni dua la kuku tu. Chanjo itafanikiwa kwa kiwango kikubwa tu, maana siku zote sayansi huwa inashinda.Sasa kama hadi WHO wanafanyia uchunguzi hilo suala kwanini hizo nchi zilizositisha matumizi ya hizo chanjo uwaone kama watata au sio waelewa? muhimu hapa ni uchunguzi tu.
Wewe nilishakwambia sayansi sio imani ila hauelewi,watu tunajadili chanjo hapa ila kwa kuwa wewe umefanya sayansi ni imani basi unaona tunakufuru kuzijadili hizi chanjo hapa.huwezi kupingana na sayansi hta sku moja, itakugharmu. Nchi nyngne wanalilia chanjo we uko hpa unapinga tu. Unataka kuonekana unajua sana. ayo maombi unayoomba chanjo ifeli ni dua la kuku tu. Chanjo itafanikiwa kwa kiwango kikubwa tu, maana siku zote sayansi huwa inashinda.
Hizo nchi hazijazuia matumizi ya hizo chanjo kwa nchi zengine au kusema hizo chanjo si salama zisitumike bali kwenye nchi zao tu kwahiyo nchi zengine waliyoamua kuendelea kutumia watumie tu,sasa sijajua shida iko wapi hapo? Wao wamesema watafanya uchunguzi sasa longolongo inatoka wapi?WHO ndio wenye mamlaka ya kusema chanjo inafaa au haifai sio hizo nchi,chanjo sio lazima ni option kama wanaona haifai waache na sio kuleta longologo maana hawajalizimishwa......Kati ya walichanjwa ni wote wamepata blood clot?
Tusubiri uchunguzi wa WHO kwa cases zilizopelekwa......Panapoibuka ugoonjwa kuna watu wananufaika na uwepo wa ugonjwa ,sidhani kama wauza/producers wa BARAKOA na "SANTAIZA" wanapenda uwepo wa Astrazeneca vaccine ,possible kuna figisu(Ujasusi wa kiuchumi).Hizo nchi hazijazuia matumizi ya hizo chanjo kwa nchi zengine au kusema hizo chanjo si salama zisitumike bali kwenye nchi zao tu kwahiyo nchi zengine waliyoamua kuendelea kutumia watumie tu,sasa sijajua shida iko wapi hapo? Wao wamesema watafanya uchunguzi sasa longolongo inatoka wapi?
Hata hao wasiopata blood clot wapo ambao walipochanjwa iliwaletea shida kidogo na wengine haikuwasumbua kabisa,kwahiyo hapa uchunguzi si kitu cha kupuuzia kama unavyotaka iwe bali ni suala muhimu maana chanjo zenyewe bado zipo kwenye majaribio hizi kuna mengi hayajulikani kuhusu hizi chanjo.
Mkuu mbona umejiaminisha sana kupita kiasi na ubora wa hizi chanjo kuliko hata hao wataalamu wenyewe? Halafu mbona tahadhari zinatakiwa kuendelea kuchukuliwa hata ukichanjwa kwa hivyo matumizi ya barakoa na sanitizer yataendelea kuwepo tu hivyo huna haja ya kuwaza hayo mambo.Tusubiri uchunguzi wa WHO kwa cases zilizopelekwa......Panapoibuka ugoonjwa kuna watu wananufaika na uwepo wa ugonjwa ,sidhani kama wauza/producers wa BARAKOA na "SANTAIZA" wanapenda uwepo wa Astrazeneca vaccine ,possible kuna figisu(Ujasusi wa kiuchumi).
Sasa mbona na nyinyi msha_confirm kwamba zinaleta blood clot bila kuleta majibu ya uchunguzi? Kwani haiwezekani hiyo blood clot ikawa imesababishwa na issue nyingine even thou mtu amechanjwa astrazeneca?Mkuu mbona umejiaminisha sana kupita kiasi na ubora wa hizi chanjo kuliko hata hao wataalamu wenyewe? Halafu mbona tahadhari zinatakiwa kuendelea kuchukuliwa hata ukichanjwa kwa hivyo matumizi ya barakoa na sanitizer yataendelea kuwepo tu hivyo huna haja ya kuwaza hayo mambo.
Yani wewe ukizungumza mbele ya wasomi utachekwa. Yani kweli kabsa unafurahia chanjo kuzuiwa? unajua ingeokoa wangapi. watu wengi wanakufa kwa Covid 19, na hakuna mbadala wa kuzuia vifo ivyo zaidi ya chanjo. Asee bado upo kwenye giza. Nakusikitia sana.Mkuu mbona umejiaminisha sana kupita kiasi na ubora wa hizi chanjo kuliko hata hao wataalamu wenyewe? Halafu mbona tahadhari zinatakiwa kuendelea kuchukuliwa hata ukichanjwa kwa hivyo matumizi ya barakoa na sanitizer yataendelea kuwepo tu hivyo huna haja ya kuwaza hayo mambo.