Afu unaongea vitu bila kufatilia sjui. uwe unaptapta kwenye vyombo vya habari vya kimataifa utajifunza mengi. unasema watu wanatakiwa kuendelea kuchukua tahadhar hta baada ya chanjo, jibu ni kwamba sio wte wameshachanjwa - ni mpaka waifikie herd immunity, yani 70% ya watu wakichanjwa, we utaona mwenyewe maisha yao yatarud kama kawaida. ndo maana mwanzon kabsa nikakwambia huwez shindana na sayansi utashindwa tu.Mkuu mbona umejiaminisha sana kupita kiasi na ubora wa hizi chanjo kuliko hata hao wataalamu wenyewe? Halafu mbona tahadhari zinatakiwa kuendelea kuchukuliwa hata ukichanjwa kwa hivyo matumizi ya barakoa na sanitizer yataendelea kuwepo tu hivyo huna haja ya kuwaza hayo mambo.
