Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Behaviourist
King Kong III
brazaj
Hebu njoeni mchangie kidogo inakuaje serikali inaamua tu kusitisisha zoezi la chanjo ambazo zimethibitishwa na WHO,si wangeacha wenye kutaka kuchanjwa wachanjwe,au nasema uongo ndugu zangu?
we inaonekana ni mpinga sayansi, endelea kutumia uganga hta ukiugua usiende hospital. Afu kuhusu chanjo mataifa mengi sana yanaendelea kuitoa kama Marekani, Canada, Ujerumani, South Africa, Russia.. yani ni mengi sana hta siwez yataja yoteBehaviourist
King Kong III
brazaj
Hebu njoeni mchangie kidogo inakuaje serikali inaamua tu kusitisisha zoezi la chanjo ambazo zimethibitishwa na WHO,si wangeacha wenye kutaka kuchanjwa wachanjwe,au nasema uongo ndugu zangu?
mwambie uyo mpinga chanjo, hajui lolote kuhusu sayansiDRC wamesitisha uzinduzi wa siku waliyopanga kuanza chanjo,watatangaza tarehe nyingine.
Sijajua tatizo langu lipi hadi uniandikie yote hayo? Nimeuliza tu inakuaje nchi inasitisha matumizi ya chanjo wakati WHO imeipitisha na inasisitiza kuwa ziendelee kutumika hazina tatizo? Ajabu unaniambia et napinga sayansi,sasa ni jambo lipi hapo la sayansi nililopinga?we inaonekana ni mpinga sayansi, endelea kutumia uganga hta ukiugua usiende hospital. Afu kuhusu chanjo mataifa mengi sana yanaendelea kuitoa kama Marekani, Canada, Ujerumani, South Africa, Russia.. yani ni mengi sana hta siwez yataja yote
DRC wamesitisha uzinduzi wa siku waliyopanga kuanza chanjo,watatangaza tarehe nyingine.
Sayansi sio imani mkuu kama unavyodhani na ndio maana hizo nchi zimeamua kusitisha ili kufanya uchunguzi pamoja na kwamba nchi zengine zinaendelea kutumia hizo chanjo na WHO inasema hazina tatizo,sasa kama unajiona wewe ndio unaijua sana Sayansi kuliko hizo nchi zilizositisha basi sawa.mwambie uyo mpinga chanjo, hajui lolote kuhusu sayansi
Inabidi uelewe kuwa hakuna njia yoyote ya kumaliza ugonjwa wa Covid 19 zaidi ya chanjo. Mi nashangaa unavoonekana kufurahia chanjo kuzuiwa wakati watu wanakufa kila siku kwa corona. Halafu iyo chanjo ya Astrazeneca imeshatolewa kwa zaidi ya watu millioni 17 duniani, na kati yao ni 30 tu ndo wamepata changamoto. Huoni utofauti apo?Sayansi sio imani mkuu kama unavyodhani na ndio maana hizo nchi zimeamua kusitisha ili kufanya uchunguzi pamoja na kwamba nchi zengine zinaendelea kutumia hizo chanjo na WHO inasema hazina tatizo,sasa kama unajiona wewe ni unaijua sana Sayansi kuliko hizo nchi zilizositisha basi sawa.
Kipi kilichokufanya useme nafurahia? Inaonesha mkuu umesikitishwa na hizi taarifa za baadhi ya nchi kusitisha matumizi ya hizi chanjo,wacha wafanye uchunguzi na matokeo yatakuwa ni faida kwa wote.Inabidi uelewe kuwa hakuna njia yoyote ya kumaliza ugonjwa wa Covid 19 zaidi ya chanjo. Mi nashangaa unavoonekana kufurahia chanjo kuzuiwa wakati watu wanakufa kila siku kwa corona. Halafu iyo chanjo ya Astrazeneca imeshatolewa kwa zaidi ya watu millioni 17 duniani, na kati yao ni 30 tu ndo wamepata changamoto. Huoni utofauti apo?
Sasa ikitokea ikapigwa chini hii chanjo sijui hali itakuaje kwa wale watu ambao wamekwisha chanjwa chanjo hii?Oxford itashushwa vyeo maana hii chanjo yao kila mahali inakataliwa sio sawa na chanjo nyingine
"Waziri wa Afya Eteni Longondo amesema wameamua kuahirisha tarehe ya uzinduzi wa chanjo hiyo kama hatua ya tahadhari, baada ya nchi nyingine kadhaa kufanya uamuzi kama huo. Waziri huyo amesema tarehe mpya ya uzinduzi wa chanjo hio itatangazwa baada ya uchunguzi wa kiserikali na wa Kimataifa."
Zingatia hapo baada ya uchunguziwa kiserikali na wa Kimataifa.