DRC CONGO : yapata waziri mkuu mpya

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila, hatimaye amemtangaza waziri mkuu mpya, atakayechukua nafasi ya Matata Ponyo

Uteuzi huo unakuja siku chache baada ya Matata Ponyo wa chama tawala kujiuzulu ili kutoa nafasi kwa wapinzani
1479394815240.jpg
Rais Kabila amemtangaza Samy Badibanga (pichani katikati) ambaye ni kiongozi kwenye bunge la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kuwa waziri mkuu mpya wa mpito kufuatia makubaliano ya hivi karibuni yaliyotiwa saini kati ya Serikali na vyama vya upinzani nchini DRC
 
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila, hatimaye amemtangaza waziri mkuu mpya, atakayechukua nafasi ya Matata Ponyo

Uteuzi huo unakuja siku chache baada ya Matata Ponyo wa chama tawala kujiuzulu ili kutoa nafasi kwa wapinzani
View attachment 435591Rais Kabila amemtangaza Samy Badibanga (pichani katikati) ambaye ni kiongozi kwenye bunge la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kuwa waziri mkuu mpya wa mpito kufuatia makubaliano ya hivi karibuni yaliyotiwa saini kati ya Serikali na vyama vya upinzani nchini DRC
Vyama vipi kama TLP, Cheyo (kinaitwaje vile), PPT- Maendeleo !!!!!
 
Back
Top Bottom