Drake Vs Kendrick Lamar

Kandrick anautofauti sana na Drake, so kufananinisha tunakosea....

Styles, lyrics, Culture ya mziki wako tofauti.

Mleta uzi, ingependeza Kandrick Vs J cole au Drake Vs wenzie wa commercial music

Sent using Jamii Forums mobile app
 
braza
kwa malone hapo nahisi hujasikiza ngoma zake zote.
labda tekashi and scott ndo unaweza ukasema ivo.
Yaan kuna watu kama
Travis Scott,post Malone,wale,future sijui design ya kina takashi sijui wanaimbaga nini hata mafans wao naona ni wahuni tu.
Wataendelea kulalamika wanabaguliwa na wazungu hawawezi kusikiliza upuuzi
 
Back
Top Bottom