Drake Vs Kendrick Lamar

Drake Vs Kendrick Lamar

Msikilize kendric japo kwenye all stars,usikie anavyonata..

Drake nyota ya kupendwa tu,ila hiphop anayofanya hamkuti Kendric..
 
Yaan kuna watu kama
Travis Scott,post Malone,wale,future sijui design ya kina takashi sijui wanaimbaga nini hata mafans wao naona ni wahuni tu.
Wataendelea kulalamika wanabaguliwa na wazungu hawawezi kusikiliza upuuzi
Post Malone mkali mzee
 
Mkuu ukiwa namuda mfuatilie Jamaa hatari. Sikiliza Sunflower akiwa na Swae Lee au RockStar ft 21 Savage au mkwajua wa Congratulation akiwa na Quevo au skiliza Circle jamaa nomaaaa
Fresh mkuu ngoja nisklize ngoma zake nyingine ambazo sijaziskia labda atanishawishi
 
namkubali Drake, yuko ki soft-core na ki hard-core, anaimba na kuchana, kama Kanye vile

Drake pia anafaa kwenye Chorus kuimba kawaida ( Aston Martin ya Ross feat Drake ) na pia akachana mwishoni

ila kwenye content(Lyrics) aisee, Kunta ni moto, ni Lyricist hatari sana
 
mziki mzuri ni lyrics mkuu au?
 
All in all kendrick ninoma sana Drake akasome ila kimauzo hiyo ni habari nyingine
 
Nashindwa kuelewa kama Lamar ni noma why kwenye mauzo ana kalishwa na Drake?
Nikama huyo jamaa alivyosema hapo juu mfano ukisikia ngoma za tamaduni music ni noma sana zaidi ya sana lakini mauzo mabovu lakin ukisikia album ya country boy niyakiwak lakn saiv ina trend
 
Msikilize kendric japo kwenye all stars,usikie anavyonata..

Drake nyota ya kupendwa tu,ila hiphop anayofanya hamkuti Kendric..
Nikijifungia ghetto ukute nipo peke yangu halafu nilifungulie jimbo la Drake Energy we najifeel km na mm nipo kule Drizzy badman wewe yule cruial nigga achana nae kabisa
 
Back
Top Bottom