Drake- God's plan

Hio Gods plan ni kali kinoma video yake hadi raha..

Diplomatic immunity nayo ni moto wa kuotea mbali..
 
Ingekuwa bongo ,tungesema jamaa ana show off,anajishaua,si unajua wabongo watu wa wivu,roho mbaya plus majungu,ila nimependa sana alichokifanya Drake ,ila bonge la nyimbo .
 
Hii inanikumbusha Kipindi cha Luninga cha kuitwa EXTREME MAKEOVER (Home edition).

Nilikuwa mfuatiliaji mzuri sana wa hiki Kipindi.

Kusema ukweli Kipindi hiki ilikuwa kila nikikiangalia nilikuwa napata HUZUNI sana, na SIMANZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…