draft ya MKUKUTA hiyo hapo

add

Member
Jun 26, 2007
12
1
Wadau,

Serikali ipo katika mchakato wa kuandika MKUKUTA na karibuni rasimu itatotlewa kwajili ya kupokea maoni ya wadau.

Nimeambatanisha rasimu ya kwanza inayoonyesha maeneo ya kipaumbele kwenye MKUKUTA 2010 - 2015.

Nini maoni yako?

Nitaendela kuwapa taarifa zaidi kadri zinapotoka ili tuweze kuepika mchakato huu

kwa taarifazaidi na kushiriki moja kwa moja tembelea

http://www.policyforum-tz.org/node/7145
 

Attachments

  • MKUKUTA II Key Result Areas January 25 2010.doc
    144 KB · Views: 167
Asante mkuu. Je unaweza kutupatia IMPACT Assessment report ya MKUKUTA I? Itakuwa vizuri tukiipitia hiyo ili tuone ilifanikiwa kiasigani, mapungufu au changamoto ili basi tuweze kuchangia hizi KRAs or KPI za MKUKUTA II. Pia haya maoni yetu yatapata dirisha lakupitia hadi kufikia kikundi kazi cha MKUKUTA II? Isije ikawa yanaishia hapa tu mkuu.
 
Mkuu,

Kuna reports mbali mbali zimetolewa za kuangalia mafanikio. Zipo katika makundi mawili.

1. Ripoti za kawaida na hasa PHDR 2009 ambayo imetoa ufafanuzi wa mafanikio, mapungufu na changamoto za utekelezaji wa MKUKUTA I.

2. Ripoti mahususi za utafiti: Zimefanyika tafiti nyingi mahususi katika maeneo mbali mbali ya mkukuta (studies)

Taarifa hizi utazipata

http://www.policyforum-tz.org/node/7145

Kuhusu Maoni, yote yatapelekwa kwa drafting team ya MKUKUTA kwahiyo usiwe na shaka. Mjadala huu unaanzishwa makusudi kushirikisha wat wengi iwezekanavyo kutoa maoni kuhusu mkukuta II

Pamoja!
 
Back
Top Bottom