Utasutwa shosti,shaurilo!!
Mie tayari nimetoa mchango ila sijui kama nitakuwepo Marry Hunbig
Bora umwambie huyo mtoto, full kudandia treni kwa mbele, mkumbushe sio kila treni ni ya Mwakyembe, akijikuta Itigi ndo ataisoma namba
Dah,natamani kuhudhuria kama nitakuwepo Dar es salaam by next week.
Enhee...sema mkuu...
Ahsante manoah,mie ni zaidi yako eti!!
Tehtehetehe teheteeteh na mimi nimekumiss ujue,hehehehe hebu pitia mlimani city ukafanye shopping ntakuja kulipa
sas mbona kama ushafunguka vileBado nina wasiwasi,ila nikifunguka hapa nitaambulia BAN!!
mhhhh.... White party inafanya kazi kweli, watu wanakuja kwa ID mpya ili wasitambulike hahahaaaaaa....