Dr. Wilbrod Slaa ndani ya Manyara (Katesh)

Duncan

Member
Sep 26, 2010
10
3
Rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo anatarajiwa kutua Katesh, Manyara mida ya saa nane mchana hivi.

Ataongea na wananchi wazalendo katika viwanja vya stendi na kesho Jumatatu atakutana na madiwani wa Chadema.

Habari zaidi na picha tutawajuza badae.

Tuko pamoja, endelea kutujuza.

Hamna rais mtarajiwa urais sio kama harusi ndio unaweza kusema bwana harusi mtarajiwa au bibi harusi mtarajiwa.
Ungesema rais kivuli wa Tanzania a loser Dr Slaa, atakuwepo Kateshi

Rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo anatarajiwa kutua Katesh, Manyara mida ya saa nane mchana hivi.

Ataongea na wananchi wazalendo katika viwanja vya stendi na kesho Jumatatu atakutana na madiwani wa Chadema.

Habari zaidi na picha tutawajuza badae.

Mkuu Dr. Slaa siyo rais mtarajiwa, ni Rais anayeongoza kutoka kwenye mioyo ya watanzania wazalendo. Ni Rais anayesubiri kuapishwa.

Kamanda 2nakutegemea na hata picha rusha kama kawa bila ya kuchoka Kamanda we2.

Freedom Of Flag said:
Mkuu Dr. Slaa siyo rais mtarajiwa, ni Rais anayeongoza kutoka kwenye mioyo ya watanzania wazalendo. Ni Rais anayesubiri kuapishwa.
Rais wa Wazalendo wa Kichagga kutoka Kilimanjaro na Arusha, sio rais wa Watanzania wapenda amani

Hivi Dr Slaa ni mchaga? Ni vizuri hizi shule za kata ziangaliwe kwa ukaribu zaidi, zitatutengenezea mambumbu wa viwango vya kutisha!

Hamna rais mtarajiwa urais sio kama harusi ndio unaweza kusema bwana harusi mtarajiwa au bibi harusi mtarajiwa.
Ungesema rais kivuli wa Tanzania a loser Dr Slaa, atakuwepo Kateshi

avatar yako na mawazo yako yako sawa...

Hamna rais mtarajiwa urais sio kama harusi ndio unaweza kusema bwana harusi mtarajiwa au bibi harusi mtarajiwa.
Ungesema rais kivuli wa Tanzania a loser Dr Slaa, atakuwepo Kateshi

Yeah you are told the reality. Dr. is our president from our hearts. you can not stop the moving bullet, ni wizi tu wa magamba ndo umetufikisha hapa otherwise, he could be our presida, hatujachoka, hatutachoka, tutapambana hadi kieleweke.

Hivi Dr Slaa ni mchaga? Ni vizuri hizi shule za kata ziangaliwe kwa ukaribu zaidi, zitatutengenezea mambumbu wa viwango vya kutisha!

Asante Mkuu kwa kumjibu Ritz. Lakini wapumbavu kama hao huwa tunawaacha na pumba zao. Wapo wengi humu

Yeah you are told the reality. Dr. is our president from our hearts. you can not stop the moving bullet, ni wizi tu wa magamba ndo umetufikisha hapa otherwise, he could be our presida, hatujachoka, hatutachoka, tutapambana hadi kieleweke.
Every who streches a skin on drum, pulls the skin own his own side, unategemea mtu kama wewe ulivyokuwa mateka wa Mbowe utasemaje?

Hivi Dr Slaa ni mchaga? Ni vizuri hizi shule za kata ziangaliwe kwa ukaribu zaidi, zitatutengenezea mambumbu wa viwango vya kutisha!
Soma kwanza pandiko langu vizuri ndio ujibu, kwani Arusha wanakaa Wachagga!
Narudia tena a loser Dr Slaa, ni rais wa Wachagga, Kilimanjaro na Arusha, sio rais wa Watanzania wapenda Amani.

Saumu mbaya halafu futari yenyewe ya miogo

Yeah you are told the reality. Dr. is our president from our hearts. you can not stop the moving bullet, ni wizi tu wa magamba ndo umetufikisha hapa otherwise, he could be our presida, hatujachoka, hatutachoka, tutapambana hadi kieleweke.

Yes you can with a bullet proof vest by blocking it, au?

Back
Top Bottom