Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

Wewe ndio hujitambui kwa kuamini hakuna wanadamu wasio pokea rushwa ....hakuna binadamu asiyedhaifu lakini wote kuwadhaifu hakuhalalishi wote kutenda dhambi zile zile ....wapo wazinzi wengine si wazinzi , wala rushwa wengine si wala rushwa .....
 
acha kuongea vitu usivyovijua wewe! huyu MTU ana uadilifu gani? kuna vitu huvijui nakushauri bora kukaa kimya tu Mkuu.
 
acha kuongea vitu usivyovijua wewe! huyu MTU ana uadilifu gani? kuna vitu huvijui nakushauri bora kukaa kimya tu Mkuu.

Vipi hivyo? vitaje basi ...Chadema yenyewe umeijua kwa kuletwa na mafuriko ya "mabadilikoooo Lowasaaaa" vipi bado unazungurusha mikono?
 
Pipoooooz power!!!!Chama hakijafa
Wadau tukomae kusaka mabadiriko

Mabadiliko yapi?
Mabadikiko tuliyoyaona wakati wa kuteua wagombea, wakati wa kampeni, na wakati wa uteuzi wa viti maalum umetuonyesha mengi.
Jirekebisheni ndugu yangu.
 
Vipi hivyo? vitaje basi ...Chadema yenyewe umeijua kwa kuletwa na mafuriko ya "mabadilikoooo Lowasaaaa" vipi bado unazungurusha mikono?
..,kwamba kuna watu mlikuwa kwenye chama kwa kuabudu mtu kwahiyo itikadi,Sera havikuwa na maana yoyote,kwenu Chadema ilikuwa ni Dr basi!! inashangaza sana!
 
hebu funguka vzr hapo mkuu nataman sana kujua alichowaambia MTAZAMO
 
Last edited by a moderator:
..,kwamba kuna watu mlikuwa kwenye chama kwa kuabudu mtu kwahiyo itikadi,Sera havikuwa na maana yoyote,kwenu Chadema ilikuwa ni Dr basi!! inashangaza sana!

Itikadi na sera zingeheshimiwa msingempokea mtu ambaye mlimwita fisadi na majina yote mabaya kwa miaka tisa alafu mkataka kumsafisha kwa miezi miwili .....wewe unaijua itikadi na Sera za Chadema? wanaojua walijitenga wazi ...wengine walisusa kimya kimya mkabaki "nyumbu" wafata upepo ....
 
hebu funguka vzr hapo mkuu nataman sana kujua alichowaambia MTAZAMO

Mkuu haya matusi wanayatoa mashabiki wengine hata kadi hawana....wakati viongozi wao walishaamua kuyamaliza kiutu uzima ....kabla Dr Slaa hajajitoa Chadema haya matusi yalikuwa yanatolewa na CCM ...humu vijana wote wa Chadema walikuwa wanamtetea kwa nguvu zote kama vile wanavyowatetea Mbowe, Lissu na wengine lakini wangekuwa upande mwingine wangetukanwa matusi yote unayosikia CCM wakiwatukana sasa ....hizi ndio siasa za "Unyumbu" ambazo wengine tumezikataa ...
 
Last edited by a moderator:
Baada ya CHADEMA kuingiliwa na manyang'au, Lowassa, Masha n.k., kwa nini usitoe msimamo wa nini wafusi wako wafanye katika kukabiliana na haya mafisadi?

Acha ujinga wewe,... kuwa na heshima kwa viongozi wako wa kitaifa
 
Ni unafiki tu unaowasumbua watanzania walio wengi.
 
Huu ukweli unafanya watu wapite kimyakimya kama hawaoni vile.
 
Dr. W.Slaa atakumbukwa daima na chadema.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…