Mwalimu Nyerere anajutia kifo kimoja alichoidhinisha, huenda hapa tunacheza na lugha, katika vifo 10 (kama nadhani Kuhani alipoonesha majibu bungeni, vilivyotekelezwa awamu ya kwanza), huenda ni hicho cha Mwamwindi tu ndio anaona hakuwa fare. Lakini vile tisa alivyoviafiki huenda anaona kulikuwa hakuna tatizo. Ni hayo tu wakuu.
Mkuu Mfumwa Heshima yako bro, dawa ya kutocheza na lugha ni kuleta copy za executive orders alizosaini Mwalimu kwa ajili ya vifo vya wananchi 10, nina uhakika kwa 100%, kua nimeisoma hiyo habari somewhere, Mwalimu akihojiana na Ulimwengu wakati wa uchaguzi wa rais 1995, as a nation nimewahi kuona mengi sana ya ajabu kuhusu taifa langu kwamba sina tatizo kuamini kuwa kuna uwezekano mkubwa kuwa ziliwekwa saini za wengine kwenye hao wengine tisa,
Na ninarudia tena kua sina mapenzi sna na Mwalimu na policies zake, lakini siwezi kumsingizia anything, hasa la uuaji Mwal;imu hakuwa muuaji kwa sababu angekuwa basi angeua wengi sana, infact hata Kambona alikamatwa Airport ya Nairobi, Mwalimu aliwaambia wamuache aende anakotaka, Babu alitakiwa kuuliwa kule visiwani, lakini Mwalimu akamuokoa, Salim alitakwia kuuliwa kuel visiwani lakini Mwalimu akamuokoa, sasa kwa wale mnaomchukia sana Mwalimu, ni haki yenu na ikibidi tupeni sababu badala ya kujaribu kujificha ficha nyuma ya ishus zisizokuwa na kichwa wala miguuu,
Ushaidi uliotolewa bungeni umesema kuwa walinyongwa watu 10 under awamu ya kwanza, kama tatizo ni kum-gotcha Mwalimu, ambaye I have absolutely no love for mnahitaji more than huo ushahidi wa bungeni, wakati umefika sasa tumuache Mwalimu apumzike, mkuu Mfumwa ahsante kwa darasa lako na ninashukuru kwamba huwa linatokea pale tu inapotokea ishu na mtu mmoja, that is wasup lakini ahsante sana.
Lakini pia sina tatizo kukubali hoja yako kuwa alisaini vifo vya wananchi 10, kama itakuletea amani bro!