Dr Walid Amani Kabourou yuko wapi?

Dr Walid Amani Kabourou yuko wapi?

Mishale imekuwa mingi hivyo kaamua kupotezea na kukaa mbali na siasa
 
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/336725-dr-aman-walid-kabourou-ashinda-nafasi-ya-m-kiti-ccm-mkoa-wa-kigoma-2.html
 
Hata kama.........na je kwa nini amekuwa bubu........mwanasiasa muhimu kusikika

Kwa hilo siwezijua maana ni sababu zake binafsi.Ila nnacho himiza ni kwamba"bila umoja hakuna maendeleo hiyo mambo ya kuchaguana kwa kuangalia chama yatalikost taifa,cha msingi ni kuangalia mtu anaefaa na sio chama chake mzee "
 
usaliti ni laana mbaya sana ! huyu jamaa elimu yake yote imeishia kwenye kufuta vumbi meza za ccm , kapigika vibaya sana !

Laana ni mbaya sana, nakumbuka maneno yake viwanja vya Mwanga Centre baada ya kuondoka alisema Zitto namfahamu vizuri naye atatoka tu na kuna CCM
 
Back
Top Bottom