Dr Walid Amani Kabourou yuko wapi?

na alaaniwe! Traitor

Homie, huyu jamaa alivuruga sana harakati za demokrasi kwa kuwasaliti vijana wa Mwanga, Bangwe, Buzebazeba, Gungu, Majengo, Kibirizi na Ujiji. Sasa anavuna matunda ya usaliti wake, magamba walimtumia sasa wamemtelekeza.
Vijana wa KG walikesha kule ukumbi wa kuhesabu kura Bangwe kuhakikisha hakuna kura haziingizwi ukumbini wakati wa kuhesabu. Walipigwa na FFU kwa ajili yake, matokeo yake usaliti.
Historia ya Dk Kaburu hunifanya nisimuamini sana Zitto.
 
Sikilizeni! Dr Aman Walid Kabourou aliihama CDM kwa pesa ya EPA. Mwenye jukumu la kuhakikisha anahamia CCM alikuwa Maranda ambaye magamba wammefunga jela. Maranda na Dr Kabourou wana uhusiano wa kidugu, na ndiyo sababu kila siku kesi ya Maranda ilipokuwa inatajwa ama kusikilizwa pale Kisutu Dr Kabourou alikuwepo. Baada ya kukwapua pesa ya EPA, Mangulla akampa Maranda kazi ya kuhakikisha analirejesha jimbo la Kigoma Mjini CCM. Kumbuka waratibu wakuu wa EPA ndani ya CCM walikuwa Mangulla, Rostam, Mama Meghji na Salome Mbatia. Dr Kabourou akapewa sh 147 millioni kutoka zile za EPA, aliandikiwa hundi na Maranda. Ushahidi upo kwenye ripoti ya uchunguzi ya Hosea, Mwanyika na Mwema. Dr Kabourou akaahidiwa ubunge wa Afrika Mashariki, akapata. Siku hizi sijui alipo! Atakuwa anatafutiwa nafasi, subirini.
Kuna kaukweli hapa.
 
Homie, huyu jamaa alivuruga sana harakati za demokrasi kwa kuwasaliti vijana wa Mwanga, Bangwe, Buzebazeba, Gungu, Majengo, Kibirizi na Ujiji. Sasa anavuna matunda ya usaliti wake, magamba walimtumia sasa wamemtelekeza.
Vijana wa KG walikesha kule ukumbi wa kuhesabu kura Bangwe kuhakikisha hakuna kura haziingizwi ukumbini wakati wa kuhesabu. Walipigwa na FFU kwa ajili yake, matokeo yake usaliti.
Historia ya Dk Kaburu hunifanya nisimuamini sana Zitto.
Nikikumbuka mahali ambapo chadema ilikuwa imefikia mkoani kigoma, halafu huyu jamaa akaja kutibua harakati...acha tu apotee.
 
Nikikumbuka mahali ambapo chadema ilikuwa imefikia mkoani kigoma, halafu huyu jamaa akaja kutibua harakati...acha tu apotee.

Hizi Post zingine zina nia ya kutoa watu machozi tu. why discuss this Pathetic Monstor.
 
Hizi Post zingine zina nia ya kutoa watu machozi tu. why discuss this Pathetic Monstor.
I know what you mean mkuu.
Lakini ni muhimu kukumbushana mambo kama haya ambayo yanatukumbusha tumetoka wapi, tulitakiwa kuwa wapi na wapi tulipo sasa; wapi tunataka kuelekea na tufanye nini ili kufika huko tunapopataka.
 
Mara ya Mwisho alionekana kwenye kampeni za uchaguzi wa udiwani aliipigia kampeni CCM pale Kirumba mwaka huu. Baada ya hapo kawa kimya kabisa. Nafikiri anaendelea na mradi wake wa chuo kinaitwa WESTERN TANGANYIKA COLLEGE OF BUSSNESS EDUCATION-KIGOMA
 
Wachumiatumbo kama hawa sijui wataficha wapi sura zao....
 
Hakika hata yeye alipo roho inamuuma kwa kuwasaliti wana kigoma.

Hili ndo tatizo la wanasiasa ya nchi maskini wanatanguliza dhiki zao mbele.

Tanzania Tanzania nchi yenye mali nyingi mafisadi wanaililia kila kukicha.
 
Homie, huyu jamaa alivuruga sana harakati za demokrasi kwa kuwasaliti vijana wa Mwanga, Bangwe, Buzebazeba, Gungu, Majengo, Kibirizi na Ujiji. Sasa anavuna matunda ya usaliti wake, magamba walimtumia sasa wamemtelekeza.
Vijana wa KG walikesha kule ukumbi wa kuhesabu kura Bangwe kuhakikisha hakuna kura haziingizwi ukumbini wakati wa kuhesabu. Walipigwa na FFU kwa ajili yake, matokeo yake usaliti.
Historia ya Dk Kaburu hunifanya nisimuamini sana Zitto.

ningependa apate taabu sana. Asife hadi aone uhuru wetu
 
Yuda Iscariot alisema ...nimesaliti damu isiyo na hatia......!Wayahudi na wakuu wa Makuhani wakamwuliza YATUHUSU NINI SISI HAYO...? Yuda alivitupa vipande 30 vya fedha hekaluni kisha akaenda kujinyonga! MATHAYO 27:3-5
Ania ya KABOROU.LAMWAI,NSANZUNGWANKO,TAMBWE na WASSIRA mwisho wao hautakuwa tofauti sana na YUDA hata wasijinyonge.Wana mambo mawili matatu ya kufanana:
Hawana amani
Hawaishi kadri ya dhamiri bali kwa nidhamu ya woga au njaa ya fedha
Hata wanandoa wenzao au CCM waliowadanganya kama wana akili wanajua hawa watu hawaaminiki basi tu...
Walishakufa kiroho siku nyingi wala hamna haja ya kutafuta walipo
 
Huyu jamaa alizingua saana, nami mara nyingi nilikuwa najiuliza huyu jamaa yuko wapi, maana amekuwa kimya sana.
 
du jamaa naskia anaharisha kweli..bado kidogo afe! walimshika uchawi, akaombewa , sasa anaharisha uharo from morning to morning.. ndio jibu la dhambi, wengine wanasema kapigwa juju wa wananchi wa kigoma.
 
Huyu jamaa alizingua saana, nami mara nyingi nilikuwa najiuliza huyu jamaa yuko wapi, maana amekuwa kimya sana.
Pengine dhambi ya kuuza "wanyonge" kwa kuvuruga upinzani inamtesa. Sidhani kama ana amani hata kama atakuwa na mali kiasi gani. Pengine dhamira inamsuta na anajutia makosa aliyoyafanya japo inamuwia ngumu kujitokeza hadharani kuomba msamaha.

Nina hakika nchi hii itakapopata uhuru wake wa kweli, wengi watainamisha vichwa vyao chini. Tusubiri, na tuombe Mwenyezi Mungu atujalie uhai.....
 
Nikienda mbinguni na kumkuta, nitamuomba mungu niende kwa shetani! Serious
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom